Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna kauli moja nimeisikia kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia kauli hii imenisikitisha sana maana ni ya kitapeli na haikufaa kabisa kutolewa na mtu kama yeye
Samia anasema kama ni heshima basi tuheshimu vitabu ya dini lakini siyo kitabu cha katiba, nimeogopa sana aisee
Yaan kweli kabisa huyu mama wanu hajui kabisa kuwa leo hii tuna vitabu vya dini baada ya katiba kuruhusu vitabu hivyo? Je kama katiba ingepiga marufuku vitabu vya dini hivyi vitabu vya dini tungevijulia wapi?
Kanisani tungeenda wapi? Msikitin watu wangeenda wapi? Je hata msikiti wangejua kuwa ni kitu gani? Je hata kanisa watu wangejua ni kitu gani?
Ni huzuni sana aisee anataka atufanye wote tunaoamini juu ya vitabu vya dini tuonekane amnazo kichwani?
Tanzania leo hii tuna dini baada ya katiba kuruhusu tuabudu
Na kama tukiamua tuheshimu vitabu vya dini kwa mjibu wa dini yeye mwenyewe haruhusiwi kabisa kuwa rais maana dini haziruhusu kabisa watawala wanawake kuongoza wanaume
SAYUNI BOY