Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?Nyie upinzani mnajiona nyingi tuuu...ndio mpo..kwann ni nyinyi tuu mnalalama mbona vyama vingine havilalamiki..mna matatizo gani..it means mna matatizo Sana subirini matokeo