Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Nyie upinzani mnajiona nyingi tuuu...ndio mpo..kwann ni nyinyi tuu mnalalama mbona vyama vingine havilalamiki..mna matatizo gani..it means mna matatizo Sana subirini matokeo
Nitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?
 
Bernard Membe ni mwoga hata akinyimwa haki yake yeye anakubali kwa vile wameshazoea kutii mamlaka hata kama imekosea alisema Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru ( RIP)/QUOTE]
Kingunge Ngombale-Mwiru : Kuyumba kwa waTanzania kwa kukaa kimya na kukosa ujasiri wa kusema ukweli ili kudai haki yao ni balaa kubwa lililoikumba nchi ya Tanzania na hata ndani ya chama kama CCM kuna woga huo wa kufuata zile ahadi za
  • "Nitasema Kweli Daima Fitina Kwangu Mwiko",
  • "Binadamu Wote Ni Sawa Na Wanastahili Heshima Na Utu",
  • "Nitatumia Akili Zangu Zote "

WanaCCM hawawezi kutumia akili zao zote kujenga hoja za kweli, wanawaza kukomoa wapinzani kwa kutaka kupindisha sheria na katiba. Hawana uvumilivu wapambanaji wa Urais wakahukumiwe katika "Mahakama" huru kupitia sanduku la kura la Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020 kwa wananchi kuamua nani wampendaye. CCM Mpya na mapandikizi yao ni waoga sana hawataki kushindanishwa kwa uhuru na haki ktk mchakato wowote kuelekea uchaguzi mkuu.

 
Vituko vya kipumbavu vya taifa hili maskini kifikra ni pale wagombea wote wa ccm huwa wanajua kujaza form za kugombea kwa usahihi isipokuwa wagombea wa upinzani.
 
Walikuwa 200 na magufuli akawapigia simu kwamba amefurahisgwa na nyimbo zinamtukana lissu chadema na wapinzani naamini hajuna sheria ya kumuenguwa Lissu Tume sidhani wanaweze kujishusha hadhi kiasi hicho
Aliwapigia kama Nan Rais wa nchi au Mgombea????

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Usimsikilize huyo mataga wewe! Mwambie akupe icho kifungu cha sheria cha kuanza kampeni
 
Kama kuna mtu hatakuelewa hapa basi ni sikio la kufa.
 
Msijitoe ufahamu, Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa chama chake. Wakati wowote na muda wowote ule hakuna sheria inayomzuia kuwasiliana na Wanachama wake kama ilivyo kwa polepole, mangula, bashiru na wengineo wanavyofanya. CCM acheni bange.
 

Attachments

  • magu.jpeg
    128.6 KB · Views: 1
Tukisema tuweke na jeshi la polisi pembeni hakika nakwambia ccm haipiti.
 
Usimsikilize huyo mataga wewe! Mwambie akupe icho kifungu cha sheria cha kuanza kampeni

..hii habari ya kutokuanza kampeni kabla ya muda ni utamaduni wa CCM.

..kule ndiyo watia nia huchukua fomu na kutafuta wadhamini kimya-kimya.

..ni utamaduni usiofaa kwa kweli, kwasababu unawanyima fursa wadhamini kuamua mgombea yupi anafaa kudhaminiwa.

..hebu angalia jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa Uraisi wa Zanzibar ulivyofanyika.

..hivi mchakato ule unatosha kuwapima wagombea na kuchagua mmoja atakayewakilisha chama, na hatimaye kuwa Raisi wa Znz?

..Hussein Mwinyi na wagombea wenzake walitumia muda gani kuelezea sera zao kwa wanachama na wajumbe kabla hawajapigiwa kura?

..kwa kweli mitizamo kama hii INADUMAZA demokrasia nchini.

cc Kilatha
 
Sema ukweli kwanza kwa mwenyekit nyumbu kuvunja Katiba ya chadema na kungangania Madaraka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kauli ya Membe inatuibitisha kuwa yeye Ni pandikizi mzoefu kama Lowassa anatengeneza mazingira ya nec yawe rahisi.
 
Vituko vya kipumbavu vya taifa hili maskini kifikra ni pale wagombea wote wa ccm huwa wanajua kujaza form za kugombea kwa usahihi isipokuwa wagombea wa upinzani.
Upinzan hasa chadema kinacho wakost ujuaji tu kama Jana tundulisu anatoka kwenye kiapo eti nimetoka kusain makaratas

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ile UHURU kuna jambo wana muziki zaidi ya 100 haikuwa kampeni?? Tusifokeane
Kaweke pingamizi hapa sio NEC na wala tusifokeane.

Sisi tunaenda kupinga Mbeligiji mitusi yake na mifoko lazima aenguliwe. Hafai anatakiwa aende kwenye TOT ya CCM. Kufokeana hapana
 
Upinzan hasa chadema kinacho wakost ujuaji tu kama Jana tundulisu anatoka kwenye kiapo eti nimetoka kusain makaratas

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Anajiona ana akili kushinda waTz wote hivyo yeye kuwa kiongozi wa nchi inamfaa.

Kumbuka hata kwenye chama chaoo wanasheria akiwa ubelgiji kitandani alitaka kurudia kugombea wakat anajua hana uwezo kuongoza. Hili jamaa kilaza kweli limebaki bishi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…