Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

Two wrongs do not make it right

Kama Rage ni mhalifu basi sio sababu ya Ridhiwan

kuinyang'anya Simba mchezaji waliomsajili kwa ubabe wa 'mtoto wa Rais'
Kwani rais ana mtoto mmoja tu? Wamuombe mwingine awasaidie?iv wangekuwa wamemsainisha angendaje yanga? Hope alihisi uswahili flan.
 

Umechoka labda umevujwa na damu nyingi leo..Rage hajamlalamikia mkuu wa nchi bali amemlalamikia mtoto wa kigogo serikalini,pili mchezaji si wa fc Lupopo bali wa APR na ushahidi upo kwamba amekuwa APR kwa miaka 6...
 
Tunasemaje Hapa "Mtenda akitendewa"..I guess..sijawah kumuamini RaGe ana Story nyingi sana ...besides

Mpira Pesa, isiwe kinyume cha sheria tuu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

We ***** unataka awe mtumwa wa kikwete kisa kapgiwa kampen, mbona ezekiel maige kamtukana live kijijn kwake alpotemwa uwazr
 
kwa hiyo unataka kuniambia ukiwa raisi kila mtu kwenye familia yako naye anakuwa raisi.anyway ndio madhara ya kuzoazoa na kuwapa uongozi wasiofugika always wasomali ni wakorofi.
 
Dhaifu wake ndo unamfanya aonekane mpuuzi tu;huwez kulalamika kwa jambo unalolihusudu nawe pia smba na yanga ubabaishaji tu;why hajazungumzia tuhuma za redondo toka azam?

Redondo kwa kauli yake amesema amemaliza mkataba na Azam FC na aliwafata simba kutaka kusajili na kwa kiwango cha Redondo huwezi kusita kumsajili, juu ya swala la Mbuyi Twite nae alikuwa amemaliza mkataba na APR ndiyo maana simba ika msajili bila kukubaliana na timu ya keya zamani...
 
Umechoka labda umevujwa na damu nyingi leo..Rage hajamlalamikia mkuu wa nchi bali amemlalamikia mtoto wa kigogo serikalini,pili mchezaji si wa fc Lupopo bali wa APR na ushahidi upo kwamba amekuwa APR kwa miaka 6...

Na mkataba wake umemalizika na APR, hivyo alikuwa huru na mkataba wake twite na Simba ulisainiwa mbele ya shirikisho la mpira Rwanda na wana sheria hapa tusubili vita ikihamia mahakamani.
 
hili ndio soccer la bongo! 18th ije haraka tuelekeze macho Ligi kuu ya uingereza
 
Tinatamba tu mara tumewapokonya Kelvin yondani, ooh tumewapiga bao Mbuyi Twite....halafu tukija uwanjani 'wanatubomoa' 5 nunge! Nyambaff...
 

ETI NINI Rage hawezi kuongopa mwezi mtukufu,nani kakwambia?.....ili'reportiwa alikuwa anapata kahawa saa 4 asubuhi kule Kigali majuzi baada ya kum'signisha makaratasi yake ya photocopy Twite.
Kama hiyo haitoshi katikati ya mfungo tena akam'tusi Mbunge mwenzake tena kule bungeni......
Hivi unamjua RAGE au unamsikia,tuulize tunaomjua vizuri huyo Mwenyekiti wenu tutakujuza.
 
Mimi binafsi nimejifunza kitu kimoja kumhusu rage,ni MNAFIKI.Anathibitisha unafiki wake kwa kulia machozi ya kinafiki,machozi ya mamba.Alipofariki mafisango,alijifanya kulia kwa uchungu kumbe inside his heart anaipigia hesabu rambi rambi ya Mafisango.Katika suala la Mbuyu twite a.k.a mahogany twitter,issue ilipokohoa amejifanya kumwaga mchozi wake wa Mamba huku akijua moyoni yeye ndo kafanya blunder.Anatumia machozi kama defensive mechanism ya mwanamke aliyefumaniwa.
 
Jamaa anajikosha kwa wanachama wake. Wiki haijapita tangu ajitape kuwa yeye ni mtaalam wa fitna za soka na kwamba hakuna kiongozi wa yanga anayemtisha. Tatizo la jamaa huyu ni kuwa anapenda kusikia sauti yake kupita kiasi na amekuwa hivyo tangu ujana wake.
mimi ninashangaa mtu kama huyu anachaguliwa kuwa kiongozi wakati sifa yake kubwa ni domo kaya
 
Jamani ukweli ni kwamba papara yake ndiyo imemkosesha huyo twite pengine mfano mzuri ni ngassa. mchezaji huyu ametolewa na azam kwenda simba kwa mkopo. hivi simba wanaweza kumuuza????? mtu yeyote amtakaye ngassa hata kama sasa anachezea simba inabidi awasiliane na azam na siyo simba.
Twite alipelekwa kwa mkopo APR toka FC Lupopo. Yanga walienda kuzungumza na kuelewana na Lupopo wakati simba walienda kuzungumza na APR hivi nyinyi wapenzi wa mpira hamuoni kuwa simba walikosea kwa sababu ya papara?? Rage analalamika kuwa eti mtoto wa kigogo ameingilia mipango yao Jee yeye ansahau enzi za profesa kapuya jinsi alivyokuwa anaingilia mambo ya utendaji katika FAT????

Rage anapaswa anyamaze kimya na akiri kuwa amezidiwa ujanja na vijana wadogo ambao aliwadharau sana sasa imekuwa hadithi ya mtenda akitendewa..............
 
Ha haaaaa achana nae huyu ndio wanaomaliza tembo wetu huko mbugani
 
Ndugu wapenzi wa michezo
najua wapo wanaochekelea kinachoendelea mzozo wa mchezaji m.twite wa kutoka rwanda
lakini kabla ya kuanza kushangilia m kama mpenda michezo sipendi kuamini kilichotokea
ila napenda kuona masahahihisho kwa yaliotokea..najua kuna mtu mmoja alimwingiza
chaka mzee wetu aden rage na kukimbilia kigali na kumkabidhi kijana hela na kusainisha
kabla ya kupiga nae picha na kuzituma dar

nafikiri imefika wakati wa mashabiki wa simba kujiuliza mna uongozi ama mna matapeli wa uongozi??sisemi kw ambaya nasema kwa ajili ya kulinda fedha zenu kwa matukio yafuatayo

.dan mrwanda
huyu alishuka kwenye ndege mkamkimbilia mkijua kijana amefika kaamua kuudi zamazake na kumkabidhi kitita kikubwa tu..sisemi kwa mabaaya ila naweka wazi kuna viongozi wa simba wanakula pesa za simba na wachezaji kwa minajili ya kuwasajili..hata wakiwachinjia baharini awaoni umuhimu wa pesa waliopoteza hata kidogo

amekuja mchezaji kutoka nje wakamshupalia kwelii oooh kaja kumaliza tatizo la yondani wewe rage wewe siaisa mchezon mbaya na hazina adabu hata kidogo mh hon....sidhani kama mnajutia zile pesa mmlizompa yule kijana mbaya zaidi akaleta mwenzake nae akawala hela zenu majuzi mmewastaafisha kwa manufaa ya umma na danymrwanda..

Sasa basi ni wakati wenu wanachama kudai haki zenu ikiwa ni pamoja nakudai zile pesa viongozi wachache waliotoa kwa wachezaji zaidi ya 4 alafu amkuwasajili hizo pesa anarusiha nani??na zimetoka wapi??na kama ni za simba iweje kila mtu anasajili ***** alafu watu wanakamata chao....amuoni kuna watu wanajinufaisha kipindi cha usajili kwa mgongo wa wachezaji wa nje..nasema hivi subirini vituko mlivyoletakutoka ivorycoast naamini mtakuwa mashahidi simba na yanga na naamini amtawafukuza maana dirisha litakuwa limeshafungwa

washabiki wa simba juen haki zenu sio kila mtu anasajili kisa mnaambiwa katoka nje wenzenu wanaenda nje kusema nao kabisa nakupa hiki mshahara kiasi fulan na kila mwezi naitaji kiasi fulani na kikiingia tu naingia atm nijue umetuma ama lah else kiwango chako kitashuka shauri zako

wauliezeni yanga jamani na mba ....waulizeni assamoah walipoona mishara aiji kwa muda wakafwatilia wlaikuta wanalipwa ngapi na wanazopata ngapi ni vituko/.....hawa wachezaji wa nje ni mitaji ya viongozi muwe makini

mwisho naamini makosa aliofanya rage ameyaelewa pamoja na ujuzi kwwenye mpira basi kosa hili alitorudiwa tena else twakukaribisha jumamosi airport jnia kumpokea m.t
 
kwa hiyo yanga ilipigwa 5 na matapeli...? mbona huzungumzii MAFISADI WANAOIFANYA YANGA CHAKA LA KUFICHA UOVU WAO?....AMA KWELI CHONGO NI MFALME WA VIPOFU....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…