hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
Kwani rais ana mtoto mmoja tu? Wamuombe mwingine awasaidie?iv wangekuwa wamemsainisha angendaje yanga? Hope alihisi uswahili flan.Two wrongs do not make it right
Kama Rage ni mhalifu basi sio sababu ya Ridhiwan
kuinyang'anya Simba mchezaji waliomsajili kwa ubabe wa 'mtoto wa Rais'