Kauli ya mwekezaji wa Simba SC kuhusu usajili

Kauli ya mwekezaji wa Simba SC kuhusu usajili

Mimi ni Yanga damu damu hata iweje.
Unaweza ukapenda wenye akili wakashangaa kwani hata kichaa huwa anapenda jalala pamoja na uvundo wake.
Key words ni 'hata iweje".Dalili ya kukata tamaa na kukubali ukweli .Hongera.
 
Mo hatoi hela ya mfukoni msimu huu! Ukimya huu si bure! Simba itumie mapato yake! Ndo tabu ya kutegemea "danga" ili kuishi mjini! Ame anatosha,!,
 
Wasemaji wa Moo wamekuwa ni wapenzi wa Utopolo. Sijui maskini hsta kama wameelewa alichoandika.Nanukuu "Good teams do not over register"
Gongo wazi tatueni matatizo yenu.Simba sio level yenu.
 
Unaweza ukapenda wenye akili wakashangaa kwani hata kichaa huwa anapenda jalala pamoja na uvundo wake.
Key words ni 'hata iweje".Dalili ya kukata tamaa na kukubali ukweli .Hongera.
Nani alikuambia siku zote ni rose tu?sometimes kuna black pia.
 
Back
Top Bottom