Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
duuuh . . . .Hivi kweli Luis Miquissone alisajiliwa kwa dolla za marekani 300,000/-?!
hatujaifikia standard ya wachezaji wa Liverpool
[emoji23][emoji23][emoji23]nacheka lakini naogopaKapigwa vyakutosha sasa Muddy kagoma kutoa pesa
Ametoa pesa nyingi kwa marefa sasa ameona bora kuhonga marefa kullliko kusajili
Usiangaike Na hao manunuzi FCOne kote. Kwa nini umeniuliza ?
Thubutu kwani papaa mudi biliono 20 kesha weka kwenye account ya mikia aka manunuzi FC?duuuh . . . .
Mimi ni Yanga damu damu hata iweje.Usiangaike Na hao manunuzi FC
Unaweza ukapenda wenye akili wakashangaa kwani hata kichaa huwa anapenda jalala pamoja na uvundo wake.Mimi ni Yanga damu damu hata iweje.
Nani alikuambia siku zote ni rose tu?sometimes kuna black pia.Unaweza ukapenda wenye akili wakashangaa kwani hata kichaa huwa anapenda jalala pamoja na uvundo wake.
Key words ni 'hata iweje".Dalili ya kukata tamaa na kukubali ukweli .Hongera.
Wanabebwa bebwa tu, lakini hamna kituMudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
Akili yake ya mpira haitofautiani na ya Marehemu Mzee Akilimali. Haisajili sana unaishia kumsajili Morrison. Upumbavu wa hali ya juu alioufanya MO Dewji!Wana Simba mna maoni gani kuhusu kauli hii ya mwekezaji wa Klabu ya Simba? Mwaga maoni.
mikia ? shenzi weweThubutu kwani papaa mudi biliono 20 kesha weka kwenye account ya mikia aka manunuzi FC?