Kauli ya mwenye ushahidi apeleke polisi inanikera mno

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani

4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.

Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.

Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu

Masauni jiuzulu haraka
 
Mama naye anakubalije kuchafuliwa na watu aliowaajiri c awasukumee ndanii tu ,au ndio anavizia mtu hapa aruke nayee
FB_IMG_1724330690583.jpg

Hakuna aliye salama
 
Kampuni ya bus imetoa taarifa rasmi kwa umma?
 
Kwaiyo police hawajui pa kuwapata hao Tashrif

Hii haihusiani na polisi. Nimeuliza tu bus wametoa tamko rasmi kwa umma au umma uanze kuogopa kupanda mabasi yao?
 
Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani

4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.

Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.

Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu

Masauni jiuzulu haraka
Ole wako ujaribu kufanya hivyo
 
Msingi wa kesi ni ushahidi. Wanajua wakishasema hivyo hakuna atakauejitokeza na kesi inafia japo.
 
Hii haihusiani na polisi. Nimeuliza tu bus wametoa tamko rasmi kwa umma au umma uanze kuogopa kupanda mabasi yao?
Ni busara Kwa mmiliki wa mabasi kujitokeza na kujisafisha
 
Mbaya zaidi gari lilitekwa mbele ya askari usalama barabarani halafu wanasema mwenye ushahidi apeleke
 
Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani

4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.

Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.

Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu

Masauni jiuzulu haraka
huo ni mtego!!! wewe katoe taarifa kama hautakunywa kahawa na mze kibao huko kuzimu
 
Back
Top Bottom