Kauli ya mwenye ushahidi apeleke polisi inanikera mno

Kauli ya mwenye ushahidi apeleke polisi inanikera mno

Hao jamaa hawana tofauti na mnyamapori.
 
Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani

4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.

Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.

Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu

Masauni jiuzulu haraka
HAPA HAWANA INTELLENSIA ILA SUBURI CHADEMA WASEME MKUTANO
 
Back
Top Bottom