KweliMama naye anakubalije kuchafuliwa na watu aliowaajiri c awasukumee ndanii tu ,au ndio anavizia mtu hapa aruke nayeeView attachment 3091596
Hakuna aliye salama
Kwaiyo police hawajui pa kuwapata hao Tashrif
Ole wako ujaribu kufanya hivyoYaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani
4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.
Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.
Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu
Masauni jiuzulu haraka
Msingi wa kesi ni ushahidi. Wanajua wakishasema hivyo hakuna atakauejitokeza na kesi inafia japo.Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani
4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.
Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.
Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu
Masauni jiuzulu haraka
Ni busara Kwa mmiliki wa mabasi kujitokeza na kujisafisha
Hawezi kusukuma ndani mtuMama naye anakubalije kuchafuliwa na watu aliowaajiri c awasukumee ndanii tu ,au ndio anavizia mtu hapa aruke nayeeView attachment 3091596
Hakuna aliye salama
huo ni mtego!!! wewe katoe taarifa kama hautakunywa kahawa na mze kibao huko kuzimuYaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao
1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60
Fuatilia abiria wawape ushahidi
3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana
Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi
3.Gari zilizo block njia inasemekana lilikuwa na plate namba za serikali.
Kwaiyo walipokuwa na hilo gari hawajulikani
4 TANZANIA yetu watu wa kutembea na bunduku na pingu wanatoka wapi.
Waziri Masauni umetia hasira kuongea kauli hiyo msibani badala uamrishe polisi kuchukua hatua haraka.
Masauni unamkwamisha na kumchafua Rais wetu
Masauni jiuzulu haraka
Mna uhakika na kuwa anachafuliwa?Mama naye anakubalije kuchafuliwa na watu aliowaajiri c awasukumee ndanii tu ,au ndio anavizia mtu hapa aruke nayeeView attachment 3091596
Hakuna aliye salama