Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
Usijali maana mungu atampenda zaidi ndani ya huo mwezi wa 10
Unamkumbuka Benchika na mfumo wake wa Objective Football? Basi na Mimi Nina mfumo wa Objective politics.Wewe kati ya hao ni nani , MCHELE, au PUMBA? Mara nyingi nimeshindwa kubainisha.
Inaonyesha wazi hilo neno "objective" unalitumia vibaya; au hujui kabisa maana yake ni nini!Unamkumbuka Benchika na mfumo wake wa Objective Football? Basi na Mimi Nina mfumo wa Objective politics.
Kilaza na kubwa la mafisadiMzee amekuwa mtihani kwenye Taifa letu aisee