Kauli ya Naibu Waziri Katambi itoshe kufukuzwa kazi

Na Mwigulu alivyosema tusiozilewa tozo twende burundi twende burundi kwani mlimfanyaje.

Mwingine alishawahi kusema tule manyasi.
Kuna haja ya mawaziri baada ya kuapishwa wapewe semina elekezi kuhusu diplomasia.
Inashangaza mtu ana elimu ya uzamivu lakini anakuwa mweupe kabisa kwenye nyanja ya diplomasia.
Ukisha kuwa kiongozi ngazi ya waziri,ukitamka neno lolote ni tamko la serkali hivyo ili kulinda heshima ya Serkali kwa wakati wote, ni vyema viongozi wakafundwa ili kunusuru aibu na uvunjifu wa diplomasia (Breach of diplomacy).
 
Anayewafunda nani hadi akafundika ikiwa kipaumbele ni kujibu maswali ya wabunge ili kumfurahisha mteuzi siyo kukidhi kwa vitendo mahitaji ya watu.MFUNDAJI NANI? Au naye anahitaji kufundwa
 
Support kuwadhihaki vijana Ni kuwakosea heshima.
 
Tatizo sio uyo kipenyo,tatizo ni Bunge la chama kimoja, watu wako mle hawasomi ,hawafanyi tafiti, ukisema hata kwamba KWa Mara ya KWANZA tz nyoka amegeuka kuwa chura,ni makofi ni makofi tu, bila kuuliza ,how,where, true, how possible,
Sasa Kama Bunge lingekua liko vizuri mda hule angejuta

Tusiangalie tatizo ila chanzo Cha tatizo ,mfano Ndugai sio speaker je kipi kimebadilika? Thanks
 
Bora angekuwa mjinga tungesema semina ingemsaidia ila anakipaji cha upumbavu, ushamba na uzuzu hasaidiki.
 
Acheni wivu mbona mwigulu aliwaambia mkaishi Burundi
 
Mkuu wewe una chuki binafisi na katambi, kauli aliyoitia haimanishi kuwa amewadharau vijana wa kitanzania isipokuwa yeye amesema waluowengi na wenye sifa za kupewa mikopo hiyo walishapewa na kuhusu kusema kuwa ni wakazi wa kenya amemaanisha kuwa kama ni mkazi wa tanzania na anasifa za kupata mkopo tayari ameshafikiwa na mkopo huo! Kauli hizo kwa wanasiasa ni za kawaida isipokuwa mapokeo ya umma ndiyo mtihani unakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…