Kauli ya Prof. Uju Anya kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza

Kauli ya Prof. Uju Anya kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Sipati picha ingekuwaje kama Profesa Uju Anya angeyasema haya kutoka chuo kikuu chetu.

IMG_20220909_075213.jpeg
 
Uongozi wa chuo kikuu cha Carnegie walivyomjibu Profesa Uju katika ukurasa wao wa Twitter.

View attachment 2350977

Hawa maprofesa weusi wanaojifanya wanachukia sana wazungu huku wakiwa nchi za wazungu na kujidai wanaipenda Africa huku wakiwa hawataki kuja Africa ni wanafiki sana wasioejielewa

Afadhali Malema anaponda wazungu lakini yeye anaishi Africa, haishi huko kwa Wazungu
 
Kwani kadanganya?, Si kila mtu ana ubaya na uzuri wake hapa duniani, hilo ni baya lao pia ila Wana mazuri yao pia!.
 
Ni vigumu kurudi Africa maana huko ndipo walipozaliwa. Ni kama wahindi wetu wa kariakoo ambao wamezaliwa bongo uwaambie leo hii warudi india wakati wao ni watanzania by birth.
Hawa maprofesa weusi wanaojifanya wanachukia sana wazungu huku wakiwa nchi za wazungu na kujidai wanaipenda Africa huku wakiwa hawataki kuja Africa ni wanafiki sana wasioejielewa

Afadhali Malema anaponda wazungu lakini yeye anaishi Africa, haishi huko kwa Wazungu
 
Prof amechapia sanaaa

anyway kwenye jamii yoyote ila kila mmoja huguswa na jambo kwa namna yake, yanapotoka hadharani ndo utajua kuwa hujuii
 
Back
Top Bottom