Kauli ya Prof. Uju Anya kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza

Kauli ya Prof. Uju Anya kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza

Wanaongelea kumbukumbu mbaya za kihistoria pekee bila ku-appreciate mazuri ambayo beberu kayafanya hapa duniani kuleta mapinduzi ya kisayansi, kiteknolojia na kijamii kutoka jamii ya kipindi cha zama za giza ambapo hakukuwa na ustaarabu uliopo leo (uncivilized world dominated by barbarism).​
 
Adhabu walizokuwa wakitoa wazungu ndizo zilizokuwa zikitolewa na wafalme wa kiafrika walioochukizwa
 
Kama ni bata kamekula, malkia wa Uingereza, miaka 96, bibi waachie na wenzako... Imetosha..
 
Ni vigumu kurudi Africa maana huko ndipo walipozaliwa. Ni kama wahindi wetu wa kariakoo ambao wamezaliwa bongo uwaambie leo hii warudi india wakati wao ni watanzania by birth.
Sasa huyo mbona anasema ndugu zake waliuawa na malkia kama hana kwao? Mhindi anaweza kutoa kauli kama aliyotoa huyo kwa viongozi wa TZ na Watanzania akaachwa bila kufurumishwa?
 
Uingereza na Ufaransa kwa pamoja colonized 75%of the world,na wakapola Mali zetu kwa faida Yao,so she is supposed to be resting in a place where killers, thieves and other criminals are.
 
Nani alikuambia kiingereza ni lugha ya Malkia? ni swa na kusema kiswahili ni lugha ya nyerere. Acha kujidhalilisha. Kiingereza ni lugha ya kimataifa
Wewe ndiwe wajidhalilisha
 
Wazungu wa siku niwajinga na wavivu ipo siku watatawaliwa na waarabu
 
Ni funzo kwa viongozi uchwara wa Tanzania.wao wanapenda kusifiwa tu.wakikosolewa kutokana na maovu yao wananuna na kuwabambikizia kesi wanaoyasema maovu yao.
 
Back
Top Bottom