No Matter ameyasemea wapi as humanity in a civilized world we are not used(sio jambo la kujisifia) to kick a dying man....Sipati picha ingekuwaje kama Profesa Uju Anya angeyasema haya kutoka chuo kikuu chetu.
View attachment 2350952
Sasa huyo mbona anasema ndugu zake waliuawa na malkia kama hana kwao? Mhindi anaweza kutoa kauli kama aliyotoa huyo kwa viongozi wa TZ na Watanzania akaachwa bila kufurumishwa?Ni vigumu kurudi Africa maana huko ndipo walipozaliwa. Ni kama wahindi wetu wa kariakoo ambao wamezaliwa bongo uwaambie leo hii warudi india wakati wao ni watanzania by birth.
I hope she repent , otherwise,May she rot in hell.
Wewe ndiwe wajidhalilishaNani alikuambia kiingereza ni lugha ya Malkia? ni swa na kusema kiswahili ni lugha ya nyerere. Acha kujidhalilisha. Kiingereza ni lugha ya kimataifa
Uhuru wa maoni huo