Kauli ya professor Assad kuwa serikali ina watumishi 60% wenye uwezo mdogo ni za kweli?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.

Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe ni shabiki wa Yanga si mngempeleka tu uwanjani akazindua kitabu chake pale uwanjani.

Tena ulimwengu ungeona na watanzania wengi wangeona kila kitu ambacho kingefanyika..

Ila huu utoto uliofanyika kiukweli ni Aibu ya karne.

Hakika nawapongeza yanga kwa kutuonyesha utakiwi kufanya tu maamuzi unavyojisikia.

Na kama ningekuwa Rais wa nchi leo ningewafukuza kazi watu wote wanaofanya kazi wizara ya Michezo.

Hasara kiasi gani kwa watu waliokuwa wameenda uwanjani?

Waliosafiri je kutoka mbali?

Vibanda umiza je?

Billions of money!!!
View attachment 1777875
 
15k yangu imeenda na maji mkuu.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Siyo tu 60% , ccm wote 100% Ni hovyo, hawana uwezo wwte wa kiuongozi, Ni sifuri kabisa kazi kutumia tu mabavu, hooligans!
 
15k yangu imeenda na maji mkuu.
Hasara kuna kibanda changu umiza tegeta leo watu wamemfanyia fujo mfanyakazi wangu maana alianza kutoza pesa SAA 9 halafu mechi ilivyoarishwa wakamtoa nje wakachukua pesa zote vijana na wengine wamekosa.

Napigiwa simu nipo Dodoma maamzi ya watu wanashindwa kuelewa wanavyo waumiza watu wengine.
 
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.

Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe ni shabiki wa Yanga si mngempeleka tu uwanjani akazindua kitabu chake pale uwanjani.

Tena ulimwengu ungeona na watanzania wengi wangeona kila kitu ambacho kingefanyika..

Ila huu utoto uliofanyika kiukweli ni Aibu ya karne.

Hakika nawapongeza yanga kwa kutuonyesha utakiwi kufanya tu maamuzi unavyojisikia.

Na kama ningekuwa Rais wa nchi leo ningewafukuza kazi watu wote wanaofanya kazi wizara ya Michezo.

Hasara kiasi gani kwa watu waliokuwa wameenda uwanjani?

Waliosafiri je kutoka mbali?

Vibanda umiza je?

Billions of money!!!
Kipimo kizuri ni leo cha kuahirisha mechi ya simba na yanga wadau wametumia gharama mbalimbali (herding behavior) thoughtful people suspending their individual reasoning
 
Back
Top Bottom