Ndo kina nani haoMuda sio mrefu hata Papaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa nao watawakataa.
Mkuu ...mambo ya Yanga yanaingilianaje hapaSahihi ni mashabiki wa Yanga hawana akili...
Ukitaka kujua hilo angalia thread zilivyoanzishwa na mashabiki wa uto toka jana...ndo utajua kuwa akili zipo finyu...
Mambo ya simba yanaingilianaje hapa? Mi ni mchambuzi usinipangie cha kuongea..ππΈ
Ni washambuliaji hatari sana wa Simba..
Naunga mkono hoja.Sahihi ni mashabiki wa Yanga hawana akili...
Ukitaka kujua hilo angalia thread zilivyoanzishwa na mashabiki wa uto toka jana...ndo utajua kuwa akili zipo finyu...
Kuna siku mtaandamana ....kuwa Simba ifutwe ligi kuuMambo ya simba yanaingilianaje hapa? Mi ni mchambuzi usinipangie cha kuongea..[emoji38][emoji196]
[emoji23][emoji23]basi wamepigwaNi washambuliaji hatari sana wa Simba..
Hahahahahaha mie naonaga wote mnapuyanga hasa ktk hizi threads mnazoandikagaSahihi ni mashabiki wa Yanga hawana akili...
Ukitaka kujua hilo angalia thread zilivyoanzishwa na mashabiki wa uto toka jana...ndo utajua kuwa akili zipo finyu...
Hahahahaha sasa wapi kuna afadhali huko kwenye wawili au huko kwa ma mbumbumbu ? Hahahahaha
Hahah kuna mabingwa wa kuanzisha thread za kijinga...Hahahahahaha mie naonaga wote mnapuyanga hasa ktk hizi threads mnazoandikaga
Hahahahahaha..toka timu zote hizo mbiliHahah kuna mabingwa wa kuanzisha thread za kijinga...
Mkuu hutaki ubaya... π π πHahahahahaha..toka timu zote hizo mbili
Wataje Kwa majinaHahah kuna mabingwa wa kuanzisha thread za kijinga...