Kauli ya Rage kwa wanasimba ilikuwa sahihi?

Kauli ya Rage kwa wanasimba ilikuwa sahihi?

Mimi naomba kuhitimisha kwa kusema hivi ile kauli ya Rage kwa wanachama na mashabiki, ni sahihi kwa 💯%

Hebu fikiria Mangungu alimtumia nauli Caesar Manzoki atoke China ili kuja kuwasalimia tu wanachama salamu ya hamjambo! kwenye ule uchaguzi wao!

Baada tu ya ile salam, Wanachama wakafurahishwa sana na kuamua kumpa Mangungu kura za kishindo! Halafu leo wanalia tena eti hawamtaki Mangungu!! Kama siyo kuchoshana ni nini huku!! 😁
 
Mimi naomba kuhitimisha kwa kusrma hivi ile kauli ya Rage kwa wananchama na mashabiki ni sahihi kwa 💯%

Hebu fikiria Mangungu alimtumia nauli Caesar Manzoki kuja kuwasalimia tu hamjambo!! 😁 kwenye ule uchaguzi wao! Wanachama wakafurahishwa sana na kuamua kumpa kura Mangungu! Leo wanalia tena eti hawamtaki Mangungu!! 😁
Hahahahahaha
 
Sahihi ni kauli ya Manara 'Yanga wenye akili ni wawili tu" Bahati mbaya kwa hao wawili wewe haumo. Luck Eymael "Yanga wanabweka kama manyani" Kwenye hii kauli ya Eymael mleta mada humo.
 
Hawa wanamsimbazi hawaishiwi matatizo.....[emoji1][emoji1]

Walianza na slogan ya hatumtaki Robertinho baada ya kufanya vibaya then akatumbuliwa.

Wakaja na slogan ya hatumtaki Mangungu [emoji23], hapa Mangungu alikaza ( aling'ang'ania).

Then wakaja na slogan ya hatumtaki Try Again, nae alikaza kung'atuka [emoji23][emoji23].

Jana wameandamana hawamtaki Ramadhani Kayoko, refa wa mechi ya Jana. Sasa hii ni akili kweli? au kauli ya Rage ilikuwa sahihi kwamba mashabiki wa Simba ni Mbu Mbu mbu.

View attachment 2899444

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu kiongozi anatisha sana
1707565321603.png
 
Mimi naomba kuhitimisha kwa kusema hivi ile kauli ya Rage kwa wanachama na mashabiki, ni sahihi kwa [emoji817]%

Hebu fikiria Mangungu alimtumia nauli Caesar Manzoki atoke China ili kuja kuwasalimia tu wanachama salamu ya hamjambo! kwenye ule uchaguzi wao!

Baada tu ya ile salam, Wanachama wakafurahishwa sana na kuamua kumpa Mangungu kura za kishindo! Halafu leo wanalia tena eti hawamtaki Mangungu!! Kama siyo kuchoshana ni nini huku!! [emoji16]
Nauli ya china unaweza Kuta ni pesa ndefu tu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sahihi ni kauli ya Manara 'Yanga wenye akili ni wawili tu" Bahati mbaya kwa hao wawili wewe haumo. Luck Eymael "Yanga wanabweka kama manyani" Kwenye hii kauli ya Eymael mleta mada humo.
Mkuu unachukuliaje swala la Simba kuandamana hawamtaki refa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu fc ni kama mitoto ya mwisho yani kuzira haijambo kuna kipindi ilitishia kwenda Zambia na Kuna kipindi pia ilitaka kwenda kucheza ligi ya Kenya.
 
Back
Top Bottom