Hawa wanamsimbazi hawaishiwi matatizo.....[emoji1][emoji1]
Walianza na slogan ya hatumtaki Robertinho baada ya kufanya vibaya then akatumbuliwa.
Wakaja na slogan ya hatumtaki Mangungu [emoji23], hapa Mangungu alikaza ( aling'ang'ania).
Then wakaja na slogan ya hatumtaki Try Again, nae alikaza kung'atuka [emoji23][emoji23].
Jana wameandamana hawamtaki Ramadhani Kayoko, refa wa mechi ya Jana. Sasa hii ni akili kweli? au kauli ya Rage ilikuwa sahihi kwamba mashabiki wa Simba ni Mbu Mbu mbu.
View attachment 2899444
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app