Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huu ni upuuzi wa miafrika!Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
Kama…… mikutano ya siasa, kwa sasa isubiri mpaka wakati wa uchaguzi ujao! IKAWA HIVYO!Kama Allen Kilewella weka ndani[emoji51]
Achapwe viboko hadharani na akitoka achapwe viboko 12 akumuonyeshe mkew
Taahira huyo! Yalijipendekeza kwa jiwe Sana!Niliwahi sikia siku moja yule Mwandishi wa habari wa wizara ya afya akisema "kauli ya rais ni sheria" nilipo fuatilia taaluma yake ni mwanasheria nikasema ama kweli Bongo land tusha vuka viwango vya ujinga Sasa Ni upumbavu
Mkuu Allen Kilewella, umeuliza a very valid question, na hili ndilo lile swali nililo liulizaga mahali, kuna baadhi ya kauli za viongozi zinatolewa kwa mamlaka gani na kwa sheria gani?.Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
Na kesho Rais Samia akitoa kauli kwamba mikutano ya kisiasa sasa ruhsa, hutakiona chombo chochote cha dola, hasa polisi, kikizuia tena hiyo mikutano.Kama…… mikutano ya siasa, kwa sasa isubiri mpaka wakati wa uchaguzi ujao! IKAWA HIVYO!
...Kila M'bunge na Diwani, ni marufuku kufanya mkutano nje ya eneo lake! IKAWA HIVYO!
.. ..Kama mtu anashambulia askari wenzie walioko FRONTI, basi huyo anajua kitakachompata! JAMAA AKALA SHABA MCHANA KWEUPEEEE!
Tumeshavuka viwango vya ujinga!!??Niliwahi sikia siku moja yule Mwandishi wa habari wa wizara ya afya akisema "kauli ya rais ni sheria" nilipo fuatilia taaluma yake ni mwanasheria nikasema ama kweli Bongo land tusha vuka viwango vya ujinga Sasa Ni upumbavu
Asante sana Pasco.Ili kauli ya rais kuwa sheria, kauli hiyo baada ya kutolewa kwa mdomo, hufuatiwa na maandishi, kisha inaandikiwa a presidential decree na kutangazwa kwenye gazeti la seikali ndipo inakuwa sheria!.
P.