Wajinga wapumbavu ndio wanasema hivyoNimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria!
Leo Waziri Mkuu anaibuka anakazia maneno ya Mh Rais kuwa TRA waachane na madeni ya malimbikizo ya kodi ya miaka ya nyuma kama Mh Rais alivyokasema huko nyuma! TRA wao wanapoenda kwa Wafanyabiashara wanadai madeni ya miaka ya nyuma bado! mfanya biashara akiuliza anajibiwa hizo ni kauli za majukwaani tu mi nafuata sheria.
View attachment 2622900
Kwanini Serikali haioni haja ya kupeleka muswada Bungeni ili ipitishwe sheria ya kufuta malimbikizo ya madeni ya huko nyuma? Utawala Bora msingi wake si kufuata Katiba na Sheria?
Tamko la Rais linalindwa na sheria hipi au ibara hipi katika Katiba yetu?
Wanasheria kazi kwenu
Kinacholitesa Taifa ni UNAFKI.
Atoke aende wapi? Kariakoo au MagomeniYaani Kassim Mnamwamini Tu Mmesahau Kifo Cha Jiwe Alisemaje?
Unaelewa nini ukisikia utawala wa sheria?Rais ni mtendaji mkuu wa serikali hao wengine ni wasaidizi wake kwahyo lazima watii maagizo yake otherwise watashindwa kwendana naye itabidi awaondoe ofsn.
Utawala wa sheria tofautisha na majukum ya kikazi yanayotokana utekelezaji wa sera/ilani za chama ambazo mijadala ya uundaji ilikuwa jumuishiUnaelewa nini ukisikia utawala wa sheria?
Hayo ni matamko ya kisiasa tu, bila sheria husika kubadirika! Mfano, lile agizo la JPM kuwa mkulima akiwa na mzigo chini ya tani moja asilipe ushuru. Kawaulize wakulima huko kama kuna hata mmoja aliyefanikiwa. Kuna DED mmoja wa Muheza aliwaambia, "Mimi nafuata WARAKA, unavyosema sio maneno ya majukwaani."Rais ni mtendaji mkuu wa serikali hao wengine ni wasaidizi wake kwahyo lazima watii maagizo yake otherwise watashindwa kwendana naye itabidi awaondoe ofsn.
Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria!