Kauli ya Rais TFF kuhusu ligi kuu kukosa udhamini si ya kiuongozi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
"Viongozi wa timu wasiishie tu kulaumu kua Ligi ngumu na haina mdhamini wakati walikua wanacheza Ligi daraja la pili na la kwanza ambazo zilikua hazina wadhamini na hawakulaumu. Wamekuja Ligi Kuu wanaanza kulaumu." .
.
Rais wa TFF, Wallace Karia

Wanamichezo huyu hatufai,wakati wa kumtoa ni sasa
 
Tutamtoaje?
Hapo ni kumsubiri tu amalize muda wake
 
Huyo jamaa ameigeuza tff sacos ya familia
Nafikiri huo mtumbo wake unapunguza uwezo wa kufikiri
 
Ashapata kitambi anajimwambafy, NA mwisho wa siku atasema siyo lazima ligi kuu yetu iwe na zawadi [emoji23] [emoji23]
 
Soka letu lina Safari ndefu na ngumu Sana!
 
Tatizo TFF wao wapo kuibeba Simba.
Kwakuwa Simba wapo vizuri kifedha,hakuna haja ya mdhamini ili kuirahisishia Simba ubingwa
 
Huyo jamaa neno rais kwake anajiona kama vile nae amekuwa Mkuu wa nchi, ipo haja cheo au jina la M/kiti lingerudishwa pale TFF. Halafu amekaa kimajungumajungu sana huyu jamaa
 
Karia ni punguani kabisa. Eti kwa kuwa timu haikuwa na udhamini daraja la kwanza, hakuna cha ajabu kukosa udhamini TPL.

Bado anataka timu ziwe nyingi TPL lakini ziondolewe kwa kukosa sifa za licencing. Huyo Msomali arudishwe Mogadishu haraka.
 
Kwenye ma bar na vibanda umiza siku Tpl ikiwa inachezwa hakutoshi ila league haina sponsor! Wahusika wajitafakari
 
Wasomali ni tatizo... Uzalendo utumike kumtoa huyu MTU, ana cha kupoteza na soka letu....
 
Yeye anaona ni sawa kukosa mdhamini.. Hata aibu hana.
 
Kada wa CCM unategemea atakua na uelewa gani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…