Kauli ya Ruge dhidi ya kashfa zinazomkabili

Hivi huwa mnasoma thread zilizotangulia au mnakurupuka tu bila kuchamba na kuanzisha thread kwa kutumia visimu vyenu vya mchina?

Mnatujazia server bila sababu, thread iko hapa tangu asubuhi wewe saa hizi unatuletea ushuzi tu.
 
Pengine hakua na taarifa kua leo kulikua na majibizano/majibu ya ruge na jide
 
Mmmmh! Hii ni makusudi..... Kweli mtu anauliza sahizi? na ni Member wa humu?
 
Mode hua unatoa elimu fupi kuhusu jinsi ya kuweka thread na kuuliza maswali mi nilijua kua ameongea na huyu mtoa hoja kaja na habari kamili.
 
in short.1. ile ni radio ya mtu binafsi ndani ya radio 82 so ukiwa bored tune station 81 zilizobaki, 2. biashara ni upinzani so upande wa pili ujipange. 3. why nyimbo zako zipigwe clouds?
 
nimefurahishwa na jinsi ulivyoriripot tukio,sikupenda kuhadithiwa nilipenda kumskia ruge

Usisahau kujiunga na maripota wetu walioko jijini Dar es salaam hapo kesho tarehe 8 Mei 2013 kujua mengi zaidi kuhusu kesi ya Wilfred Lwakatare, ila sijajua watakua mahakama ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…