Gwamaka Charles
Member
- Mar 14, 2013
- 17
- 1
Jamani ambaye alisikia kuhusu hilo suala atujuze basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnasoma thread zilizotangulia au mnakurupuka tu bila kuchamba na kuanzisha thread kwa kutumia visimu vyenu vya mchina?
Mnatujazia server bila sababu, thread iko hapa tangu asubuhi wewe saa hizi unatuletea ushuzi tu.
kuuliza co ujinga hivi jide kuna kipindi aliuza maji eee kama kumbukumbu zangu ziko sawa! brand name ........wat?!Jamani ambaye alisikia kuhusu hilo suala atujuze basi!
Pengine hakua na taarifa kua leo kulikua na majibizano/majibu ya ruge na jide
kuuliza co ujinga hivi jide kuna kipindi aliuza maji eee kama kumbukumbu zangu ziko sawa! brand name ........wat?!
nimefurahishwa na jinsi ulivyoriripot tukio,sikupenda kuhadithiwa nilipenda kumskia ruge