Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mara ya kwanza alituaminisha hivyo hivyo ukafunguliwa mvua imenyesha ikawa ni aibu tupuMsigwa anakula kwa urefu wa kamba yake.
Badala ya kuomba radhi kwa utapeli wake ,yeye anashupaza shingo
CCM Chama Cha MatapeliKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya wachezaji, uboreshaji wa vyumba vya waamuzi na uboreshaji wa eneo la kuchezea (Pitch) na mpaka sasa ukarabati umefikia asilimia 85 na ubora wa uondoaji maji ndani ya uwanja umeongezeka mara kumi zaidi ya kabla.
View attachment 3334837
VIDEO: ITV Tanzania
Report ya uwanja inatolewa na wakaguzi wa CAF, siyo Msigwa.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya wachezaji, uboreshaji wa vyumba vya waamuzi na uboreshaji wa eneo la kuchezea (Pitch) na mpaka sasa ukarabati umefikia asilimia 85 na ubora wa uondoaji maji ndani ya uwanja umeongezeka mara kumi zaidi ya kabla.
View attachment 3334837
VIDEO: ITV Tanzania
Hakuna ajabu, hiyo ndio tabia ya ccm miaka yote, ni vile akili za Watanzania zinawaza mpira na kubet mmechekewa kuwajuwa hawa wahuni.Mambo ya ajabu sana
Kama anayetoa pesa ni mwanayanga usitarajie waweke kipaumbele kwenye issue zitakazowanufaisha SimbaKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya wachezaji, uboreshaji wa vyumba vya waamuzi na uboreshaji wa eneo la kuchezea (Pitch) na mpaka sasa ukarabati umefikia asilimia 85 na ubora wa uondoaji maji ndani ya uwanja umeongezeka mara kumi zaidi ya kabla.
View attachment 3334837
VIDEO: ITV Tanzania
Hili limeniumiza sana. Mechi inaenda kuchezwa nchi nyingineSawa sawa. Ila mwisho wa siku mechi itachezwa New Amman Stadium Zanzibar! Na siyo Benjamin Mkapa Stadium.
AFCON ikifika watakuja kukagua CAF sio CCMSawa sawa. Ila mwisho wa siku mechi itachezwa New Amman Stadium Zanzibar! Na siyo Benjamin Mkapa Stadium.
anatuona sisi ndio n'gombe au aliyemteua ?Msigwa bora akae Kimya maana issue ya Uwanja wa Amani ishakuwa official,CAF wenyewe jana wametangaza kila timu imepewa barua. Maana kama anawaongeza watu hasira.
Hii ndiyo maana halisi ya neno "ubaya ubwela"Hili limeniumiza sana. Mechi inaenda kuchezwa nchi nyingine