Kauli ya Serikali kuhusu Uwanja wa Mkapa kwa mechi ya fainali ya Simba Vs Berkane

Nilishangaa jinsi adhabu ya Simba ya kucheza mechi mbili bila mashabiki ilivyobadilisha ndani ya muda mfupi sana na kuwa adhabu ya mechi moja.

Naamini pamoja na uzembe wa hali ya juu uliofanyika, uamuzi wa CAF utabadilishwa na mechi itarudi kwa Mkapa.

Kuna namna ambavyo Simba inajua kuongea kikubwa ikasikilizwa.
 
Huyo jamaa anajua CAF ni Watanzania kwamba anaweza kuwapiga kamba tu?
 
Kama wanazipenda sana hizi timu wangehakikisha huu uwanja unakuwa vizuri muda wote,

Ni zaidi ya kununua magoli na kutoa ndege!
 
Msigwa bora akae Kimya maana issue ya Uwanja wa Amani ishakuwa official,CAF wenyewe jana wametangaza kila timu imepewa barua. Maana kama anawaongeza watu hasira.
Mkuu wana maudhi sana hawa viumbe
 
Halafu unashajaa jitu limo humu, lishabiki la Simba au Yanga, halafu linashabikia CCM. Mamaaaee!! Mchawi wa hii nchi ni hilo chama chakavu.
 
Serikali inaongozwa na wapigaji tuu F*K zao
 
Aache sound za ajabu. Yeye ana utaalamu gani wa kukagua uwanja?!
 
Tunashukuru mkandarasi kuchelewesha marekebisho hawa wapakwa mafuta wangeutia gundu na mbuzi zao πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚... Mechi n Aman stadium hutaki nenda Bodi ya ligi
 
Msigwa anajitekenya mwenyewe kisha anacheka

Kilichobaki hizo pesa walizopiga kwa kisingizio cha kukarabati uwanja warudishe na hizo nafasi zao wajiuzulu mara moja
 
CAF sio TFF
CAF sio bodi ya ligi

Hii mechi haitorudi kwa Mkapa labda wanaocheza nao wasiwe Barkane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…