Kauli ya sina mtaji wa biashara ni dhana potofu

Naaam
 
Ni ajabu hakuna aliyeongelea ishu ya UAMINIFU km moja ya mtaji mkubwa sana kwenye mambo ya biashara. icho ni kitu kikubwa sana ambacho wengi wanakikosa.

UAMINIFU umekuwa mdogo sana hasa miaka hii. watu wanafanya magumashi (dhuluma) kwa wateja au wanabiashara wengine kwa short tim gain mwishowe wanakujikuta hawana wateja na connection wamepoteza.

bila UAMINIFU hata kama utaupata uo utajiri utakwama tu uko mbeleni. nazani hii ni spiritual pia. mungu anakulaani na vizazi wewe vyako kwa dhuluma zako kwa wengine.
 
Ulipotelea wapi Ndugu yangu? Habari za Siku nyingi sana? Asante Sana kwa andiko zuri.
 
πŸ™πŸ™,kuna cha kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…