Kauli ya SNURA baada ya Mauno yake Kumponza

Kauli ya SNURA baada ya Mauno yake Kumponza

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa kwenye mashindao ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards.



Snura amesema>>'Snura mpya ataonekana kwenye video ya Ushaharibu na itapendwa sana video hio,nimekatika kidogo ila hakuna mauno kama kwenye Nimevurugwa'.

Pia Snura kaomba radhi kwa shabiki watakaokosa mauno yake kwenye video zijazo na kusema atakayetaka kuona mauno hayo atayakuta kwenye show anazofanya.
 
Mbona mwili havina ushirikiano na miguuu Snuraaa haf punguza mkorogo khaaa ka jini na hayo makope
 
ishu sio mauno sababu hata ray c alikuwa anakta,,,,ishu ni style ya kukata huku ukiwa umebong'oa
 
Its not about Music its about showing people ur sexual ability and get out those who have cash and wud be ready to take burden of ur life.. its about bad habit in a cap of "usanii"
 
Mbona anafanana na yule mchaga anayevaaga machupi na maviatu kama hayo?sijui anaitwaga nani anaishi nje ya nchi.
 
Mbona anafanana na yule mchaga anayevaaga machupi na maviatu kama hayo?sijui anaitwaga nani anaishi nje ya nchi.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FO7.JPG
    FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FO7.JPG
    29.8 KB · Views: 1,127
  • FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FOR WEEK YA 6 135.JPG
    FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FOR WEEK YA 6 135.JPG
    29.3 KB · Views: 1,231
  • FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FOR WEEK YA 6.JPG
    FLORA LYIMO WIMBO WA BIKIRA MARIA NA SEXY PHOTOS FOR WEEK YA 6.JPG
    28.1 KB · Views: 1,233
Zamani watu walikua wanapiga picha huku wanatazama camera,lakini kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia siku hizi ni tofauti kabisa kwa wadada.
:llama::llama::llama::llama:
 
Hahahahaaa jaman jaman wanawake 2nashida sana yan daaa
 
Back
Top Bottom