Kauli ya 'tafuta pesa inatumiwa vibaya

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa)

Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu.

NB😛pesa huwekezwa kwenye miradi na ili hata iwe nyingi kivipi isiwe sababu ya kununua au kuifanyia vitu vya kijinga wakati wapo wasio hata na senti🙏
 
Pesa HAITAFUTWI.... INATEGWA.

Pesa zipo tu zimejaa kwenye mifuko ya wajinga, unatakiwa kuzivuta tu na sio KUZITAFUTA. Unatafutaje kitu ambacho kipo? ARE YOU CRAZY? ARE YOU BICHWA KOMWE?

UKITAFUTA PESA lazima uchoke kama MBWA KOKO utaishia kuokota vimia mbili.

Lakini UKIITEGA PESA utaona jinsi inavyotiririka tu kama maji ya DAWASCO.

Muulizeni BICHWA KOMWE awaambie kama pesa INATAFUTWA au INATEGWA.

Cc: BICHWA KOMWE - Poor Brain Mbaga Jr Lloyd Munroe
 
Mtaji wako n kijambio tuu 🤝
 
Ungekuwa tajiri namba moja duniani
 
Na waajiriwa tukatege pesa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…