kauli ya udhadhalilishaji dhidi ya kocha Mgunda nitafurahi sana endapo Ally kamwe atawajibishwa na Bodi ya ligi ili iwe fundisho kwa wengine.

kama ameomba radhi maana yake kakiri kosa na anastahili adhabu, simba na yanga ni watani, lakini utani haupaswi kuwa juu ya sheria na kanuni.
 
Jumlisha na yule wa kuitwa ZAKA... Jamaa anajua sana basi tu WaTz tumeumbwa tunapenda Ujinga ujinga!
Mimba fake iliyowahusisha Whozu na Wema iliTrend kuliko Report ya CAG
 
Anapozungumza ujinga lazima aambiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…