Hivi Tanzania inapambana na Wazungu au na Corona? Mbona mnatuchanganya?waziri Yuko sahihi,kipindi Cha mapambano lazma kujihami katika mazingira yote yenye kutiliwa shaka.lakini pia inshu sio upendeze unapozivaa balakoa,muhimu ni kujikinga.hakuna sababu ya kuongeza pato la taifa kwa nchi za nje kwa kuagiza balakoa,wakati tunauwezo wa kuzitengeneza hapahapa kwa vitenge vyetu,na vitambaa vyetu.tuache ujinga wa kubeza vya kwetu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hapa ndio napata taabu sana kuona tangu lini maskini hakawa na aduiwaziri Yuko sahihi,kipindi Cha mapambano lazma kujihami katika mazingira yote yenye kutiliwa shaka.lakini pia inshu sio upendeze unapozivaa balakoa,muhimu ni kujikinga.hakuna sababu ya kuongeza pato la taifa kwa nchi za nje kwa kuagiza balakoa,wakati tunauwezo wa kuzitengeneza hapahapa kwa vitenge vyetu,na vitambaa vyetu.tuache ujinga wa kubeza vya kwetu.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tundu Lisu anamwamini Robert Amsterdam siyo Mungu!
Hii ngumu kumeza lakini ndiyo ukweli wenyeweNchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
Ha ha🤣Baada ya kushindwa kwa hoja msala tunahamishia kwenye barakoa. Wanataka kusema tulizovaa mwaka jana ndo zimeibua hili Corona la sasa?
Aiseee !!!Hii ngumu kumeza lakini ndiyo ukweli wenyeweView attachment 1708020
Acha ujinga wewe!Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
Sawa basi tungeanza naAcha ujinga wewe!
Kutumia barakoa kutoka nje ya nchi kuna hasara nyingi. Moja ni kwamba barakoa zaweza kutumika kuleta corona. Pili hasara ya capital flight. Tutengeneze barakoa zetu.
Hii haitufanyi kuacha kuchukua tahadhari.Sawa basi tungeanza na
1. Condomu
2. Miswaki
3. Tooth pick
4. Dawa za malaria
5. Dawa za Ukimwi
6. Dawa za magonjwa yote yanayosababishwa na kujamiana
7. Dawa za aina za cancer kama iliyoumuondoa Rais wetu Kambarage Nyerere
.
.
Ongezea mwenyewe
Bila kusahau kurudi kwenye tiba asilia.
Tuokoe hela sio kwenye barakoa tu.
Ipi muhimu condom au barakoa.
Huyu mama so far analipwa mshahara wa bureacha ni pumuee kwanzaa!
View attachment 1707805
case closedKila mtu afanye anayoona ni sahihi
Hii nchi ipo mikononi kwa wahuniNchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo .
Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki ubora wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ni serikali yenyewe , leo Waziri Mkuu anapoanza kutilia shaka bidhaa ambazo zinapitishwa na mamlaka anazozisimamia na kulipiwa kodi , tena zilizotengenezwa kwa viwango vya WHO na wakati huo huo akaanza ku promote barakoa za "Dengrizi" zisizo na viwango vyovyote , zilizoshonwa na fundi cherehani wa Buza kwa Mpalange ambaye hata VETA hakupita , inahitajika Maombi mazito sana kwa ajili ya nchi hii .
Nawaomba wasomi na wataalam ( hasa wa afya ) mtuthibitishie bila uoga kama kweli barakoa za " Climplin au chilimeni ama dengrizi " zinaweza kuwa na ubora kuliko barakoa zinazotengenezwa kwa viwango vinavyoelekezwa na WHO .
Naomba kuwasilisha .
Zinashinda barakoa halali ?Barokoa za vitambaa zinasaidia kuliko kuwa huna barakoa
Hakika !Hii nchi ipo mikononi kwa wahuni