Kama ulisema chanjo hazifai, barakoa si muhimu za kutoka nje shona mwenyewe, na kama ulikiwa unasabikia nyungu na juice za tangawizi, leo usije mbele ya umma na kiwaambia watu wachanje! Ni kujiuzulu tu! Wizara ya afya inamfaa Dr. Ndugulile yeye alisimamia anacho kiamini hadi alifukuzwa, tuna tabia ya viongozi kusema uongo wakijuwa ni uwongo na kwakuwa awawajibiki kwa kufanya hivyo wanayumbisha Nchi na kuleta madhara!