Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Ndio ukweli wenyewe huo.Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
aiseeNdio ukweli wenyewe huo.
Wapumbavu zaidi hapo ni Waarabu japo hajagusia Waafrica tuko na status gani.
"Iwarinde: ndiyo Kiswahili gani sasa? Nenda MEMKWA ukajifunze kuandikaAnasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
Achana na uko mbali Tanzania ya watu milion 65, inatawaliwa na familia za vigogo wasio zidi 5.Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
Poland ni sawa na uturuki,
Hawaelewekagi wanaegemea wapi,
Ukiufuata misafara wao kimekulambe
Ukimsema kabazi hakikisha unafuta spelling errors"Iwarinde: ndiyo Kiswahili gani sasa? Nenda MEMKWA ukajifunze kuandika
HII DATA KOBAZI HAWAKUACHA SALAMA ILA NI UKWELI KABISAZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
😂😂 Ukiona hivyo jamaa ni akili kubwa licha ya udogo waoAnasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
sanaNi mambo ya kufikirisha sana
Hoja ya kipumbavu kabisa! Kwani Israel ina ugomvi na hao Moslems 2bn?Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
ha ha haUkimsema kabazi hakikisha unafuta spelling errors
we ndo huelewi??Hoja ya kipumbavu kabisa! Kwani Israel ina ugomvi na hao Moslems 2bn?
Sielewi nini?we ndo huelewi??
Kinachomshangaza huyo wazir ni kipi ? Hajui kwamba ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi?Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia
LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI
Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu
Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”
Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
Israel anategemea msaada kutoka USAKinachomshangaza huyo wazir ni kipi ? Hajui kwamba ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi?
Israel anaweza kupigana vita na bara zima la Africa ukiongeza na waarabu na Bado akashinda, akili tu