Kauli ya Waziri mkuu wa Poland Yenye UTATA

Kauli ya Waziri mkuu wa Poland Yenye UTATA

Mbn hufikirii Yesu alimuumba mama'ke na akamkadiria uzuri na maumbile..then akaja kujigeuza binadamu inashangaza sanaa ndo binadamu pekee aliyeona maumbile ya mama'ke kabla na baada ya kuja duniani
🤣🤣🤣

Kmmk 🙌🙌👋

Hii fact sio poa mchezo kweli Ukiwa mfia dini yakupasa uwe brain wash Kmmk 😁
 
🤣🤣🤣

Kmmk 🙌🙌👋

Hii fact sio poa mchezo kweli Ukiwa mfia dini yakupasa uwe brain wash Kmmk 😁
Ujue wagalatia wana tabu sanaa hapo bado Yesu alipokua mungu yeye ndo aliyewaumba watu wangekuja kumuua..wewe binadamu kawaida utaweza au itakuingia akilini kweli?
 
Anasema:
Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140???
Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia

LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI

Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu

Nchi za kiislam zote watu bilion 2 dunian kote wanaomba ulinzi dhidi ya kaanchi kadogo kama Israel kenye watu milion7 tu”

Haya mambo yanashangaza sana ,Hata nikifikiria sipati majibu Asema waziri wa poland
Ni kauli ya hovyo tu isiyo na mashiko
Hizo nchi za ulaya zina uchumi kiasi gani compare na US ?
Anaongeleaje ushawishi wa waisraeli duniania na nguvu waliyonayo?
Anaongeleaje china na India?

Hakuna makosa yoyote kwa ulaya au waislamu wote wako sahihi ila mtazamo wake kuhusu mambo hayo ndiyo hauko sahihi
 
Yaan ni sawa wewe na urefu wako kama Hashim mcheza basket afu unapigwa na kulia kuomba msaada wa kipigo kutoka kwa Tausi chifupi
 
Waisraeli wako hivyo,akili na maarifa wanayo.
Unaona hata east Africa nchi zote hizo kuna watusi wanafanya kazi Ikulu vitengo vya ulinzi na usalama😁🤸
 
Back
Top Bottom