Kauli ya Waziri mkuu wa Poland Yenye UTATA

Weka source kuonesha nchi za kiislam ikiwemo Iran,Afghanistan zikiomba msaada wa ulinzi kwa Israel.
Nachojua Mimi na na weka source hapa:-
Iran nchi ya kiislam kupitia Kamikaze drones imeisambaratisha Ukraine nchi ya mashoga Ona hapa kamikaze drone ilichofanya kule ukraine
Naweka facts hapa kua Iran imeibonda Israel hiyo unayosema iiilinde IranIsrael loss estimated 12$ billion for 12 days only
Afghanistan nchi ya Kiislam,kutumia Taliban,U.S wametumia $2.4 Trillion kumtoa Taliban kumuweka TalibanU.S spent $2 Trillion In Taliban war then lost
Then ndio hawa wanaume walindwe na mataifa waliyoyapiga?

Au wewe ni kama wale wakristo wachache WAPUMBAVU wanaoamini Israel ni taifa la mungu,linatetea ukristo wakati Israel INA WAISLAM mara tano ya wakristo,Israel Ian waislam WENGI KULIKO wakristo
Kama wewe sio mpumbavu weka sources za taarifa yako🙃😁😀😆
 
kuwa waziri poland sio kitu cha maana sana,kwenye hii 12 days ya piga nikupige Netanyahu aliomba Dunia iungane nae kumpiga IRAN matoke yake kipigo alichopata ilibidi aombewe ceacefire maana tel aviv ilishaanza kuwa GAZA,hizi habari za huyo waziri angejadili na upinde wenzie
 
Unajua jinsi ya kutoa tathmini kweli au unajua kuropoka
 
unatuhusiwa kuweka mihemuko Ruksa

Maana mtaani watu hawaelewi
 
kwakuwa hujaelewa nilichoandika ndo maana umeuliza swali la kipuuzi,pole
mkuu kubali kujifunza tathmini haitolewi hivo,,,,
Huwezi kuongea kama uko kwene kijiwe cha kahawa ukasema ndo tathmini
 
Ukubwa wa Pua si wingi wa makamasi wakati US wanawekeza kwenye teknolojia Kuna watu wao kazi Yao ilikuwa ni kula biryani.
 
Mbn hufikirii Yesu alimuumba mama'ke na akamkadiria uzuri na maumbile..then akaja kujigeuza binadamu inashangaza sanaa ndo binadamu pekee aliyeona maumbile ya mama'ke kabla na baada ya kuja duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…