Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia mkwara ma H.R na viongozi wengine.
Kama serikali iliweza mpaka kutaja figure kamili ya watakaopanda madaraja na kutenga fedha kwanini sasa wasifanye automatically kisha barua kuja baadaye?
Kwanini wasiweke majina au check number za wahusika hadharani kuepuka mgongano?
Wasije wanatuchezea mchezo hawa wanasiasa , hiyo ndio hofu yangu.