Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hamna kitu. I smell something....Ondoa hofu mkuu,mkwanja wa maana unakuja😀
Usimuamini mwanasiasa hata kama akiwa mume/mke ako!!Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia mkwara ma H.R na viongozi wengine.
Kama serikali iliweza mpaka kutaja figure kamili ya watakaopanda madaraja na kutenga fedha kwanini sasa wasifanye automatically kisha barua kuja baadaye?
Kwanini wasiweke majina au check number za wahusika hadharani kuepuka mgongano?
Wasije wanatuchezea mchezo hawa wanasiasa , hiyo ndio hofu yangu.View attachment 1772319
Kama alipigia kura ccm mwambie apambane na hali yake...Kuna dogo nipo nae maeneo hapa for 3 years...hvi hizo ajira wanazitoa lini makamanda.
Au mpaka mwaka wa kiserikali tena. July huko
Wakiweza kupandisha madaraja angalau watumishi elfu 15 nitawasifuHalafu itakuwa ngumu sana kuweza kujua kama idadi imetimizwa ama lah ...
Tusubiri Mwongozo au Waraka wa wanaostahili kupanda.Hamna kitu. I smell something.
Watakaopanda madaraja hawatafikia idadi waliyoitaja. For sure
Hizi subira ndizo zilizowafanya wanasiass watugeuze makondooTusubiri Mwongozo au Waraka wa wanaostahili kupanda.
Basi kama vipi jipandishe.Hizi subira ndizo zilizowafanya wanasiass watugeuze makondoo
Waziri yupo sahihi sn, majina yanaingizwa kwenye system(lowsan) na HR na siyo mtu yoyote, hivyo HRs wengi ni miungu watu wanataka rushwa za aina mbalimbali.Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia mkwara ma H.R na viongozi wengine.
Kama serikali iliweza mpaka kutaja figure kamili ya watakaopanda madaraja na kutenga fedha kwanini sasa wasifanye automatically kisha barua kuja baadaye?
Kwanini wasiweke majina au check number za wahusika hadharani kuepuka mgongano?
Wasije wanatuchezea mchezo hawa wanasiasa , hiyo ndio hofu yangu.View attachment 1772319
Mwogozo ulishatolewa jombaa kitambo snTusubiri Mwongozo au Waraka wa wanaostahili kupanda.
Jitie dole ufe basiHizi subira ndizo zilizowafanya wanasiass watugeuze makondoo
Kwa hiyo ww hupendi waziri akiwakazania watu watekeleze majukumu Yao ?Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate.
Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia mkwara ma H.R na viongozi wengine.
Kama serikali iliweza mpaka kutaja figure kamili ya watakaopanda madaraja na kutenga fedha kwanini sasa wasifanye automatically kisha barua kuja baadaye?
Kwanini wasiweke majina au check number za wahusika hadharani kuepuka mgongano?
Wasije wanatuchezea mchezo hawa wanasiasa , hiyo ndio hofu yangu.View attachment 1772319
Kufanya kazi local government kunahitaji moyoHivi ndugu unawajuwa maafisa utumishi wewe?kuna baadhi wanajiona ni miungu watu Sana,yani acha tu,ziko baadhi halimashauri bado watumishi wengi tu hadi walioajiliwa 2013 hawajabadilishwa mishahara yao,wakati huo huo kuna halimashauri nyingine washapandisha vyeo watumishi na wanasubiria kupandisha wa 2014 na kuendelea,Waziri yupo sahihi kama ikitokea uzembe huo awalambe vichwa tu,ni wasumbufu Sana hao jamaa
ydurchsydtbe8urchsyBasi kama vipi jipandishe.