Mkuu kipi kimekupanikisha! Mbona hii iko wazi!! Kagera ilianza vizuri na baada ya kauli ya Mh, matokeo unayaona mwenyewe!Punguwani fc.Hehehe ivi simba mnamatatizo gani?ukitaka mashabiki viazi hapa jukwaani basi ni simba.Karma haipo kwenye mpira.Over.Imekuum na umeshinda kama ungeshida je si ungeandamana ?acha akili za kushikiwa fanya kazi.
Kwan yeye ndo anachezaMkuu kipi kimekupanikisha! Mbona hii iko wazi!! Kagera ilianza vizuri na baada ya kauli ya Mh, matokeo unayaona mwenyewe!
Umeshauriwa vizuri tu, maoni kama yako yanatutukanisha wanaSimba wenzio tuonekane hamnazo. Huwezi kuja na maoni yenye mshiko kidogo na sisi tuonekane tunajua?Mkuu kipi kimekupanikisha! Mbona hii iko wazi!! Kagera ilianza vizuri na baada ya kauli ya Mh, matokeo unayaona mwenyewe!
Kwanza mimi sio mpenzi wa simba!! Na katika uzi wangu sijataja neno simba sehem yoyote!! Hapo ni kweli wewe hamnazo kwakuwa umedandia post.Umeshauriwa vizuri tu, maoni kama yako yanatutukanisha wanaSimba wenzio tuonekane hamnazo. Huwezi kuja na maoni yenye mshiko kidogo na sisi tuonekane tunajua?
Unafaham Karma wewe!!?Kwan yeye ndo anacheza