Kauli yako Mh RC@ Kagera Sugar FC itakutesa sana, Omba msamaha, dhambi hii ikutoke, Kagera warudi kwenye ubora walio anza nao.

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
963
Reaction score
1,551
Leo tena mbele ya Mh RC Kagera wamepokea kichapo nyumbani kutoka kwa JKT Tanzania
Bado dhambi ile inaiandama timu yetu ya Kagera Sugar! baada ya kupokea kichapo cha goli 1 ikiwa nyumbani.

Mh!! Omba msamaha timu ianze kufanya vizuri, this is the principle of Karma!! haihitaji uwe na Phd kielewa hilo.
 
Punguwani fc.Hehehe ivi simba mnamatatizo gani?ukitaka mashabiki viazi hapa jukwaani basi ni simba.Karma haipo kwenye mpira.Over.Imekuum na umeshinda kama ungeshida je si ungeandamana ?acha akili za kushikiwa fanya kazi.
 
Mkuu kipi kimekupanikisha! Mbona hii iko wazi!! Kagera ilianza vizuri na baada ya kauli ya Mh, matokeo unayaona mwenyewe!
 
Binafsi sioni kosa la mkuu wa mkoa.

Ana kweli l watz wengi mnamatatizo sana
 
Mkuu kipi kimekupanikisha! Mbona hii iko wazi!! Kagera ilianza vizuri na baada ya kauli ya Mh, matokeo unayaona mwenyewe!
Umeshauriwa vizuri tu, maoni kama yako yanatutukanisha wanaSimba wenzio tuonekane hamnazo. Huwezi kuja na maoni yenye mshiko kidogo na sisi tuonekane tunajua?
 
Kwanza mimi sio mpenzi wa simba!! Na katika uzi wangu sijataja neno simba sehem yoyote!! Hapo ni kweli wewe hamnazo kwakuwa umedandia post.
 
Back
Top Bottom