Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

Tatizo la kangi lugola ni kwamba kacopy na kupaste kwa jiwe kila kitu bila kuchanganya za zake, matokea mambo yakiharibika wewe ndio unakuwa mbuzi wa kafara.

Yeye kama waziri kama kuna utendaji mbovu wa polisi yoyote na wa cheo chocote wewe deal na igp full stone, sasa wewe unamwambia igp fukuza huyu, hapo tayari umeshamuingilia kwenye majukumu,

na hili kosa ndio jiwe analifanya kila mara akiwa kwenye ziara zake, kuzalilisha watu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote haya uliyoyataja wizara ya Ulinzi angepewa mtu mwingine mtu wa sifa sifa kama kangi na mwana asiyeisha vituko DAB ungeona vituko vyao pale ngome.

Hussein Mwinyi(Muungwana) kalelewa malezi mazuri na wazee wake hana mbwembwe, masifa wala sio roporopo, umesahau alikuwa afya uliwahi msikia akiwa roporopo ama vituko visivyoisha kama vya kange na wenzake??

Umesahau wizara hii aliwahi kupewa mnyamwezi toka urambo Prof Juma Athumani Kapuya akawa anatembea na helcopter za Jeshi hadi jimboni kwake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi waziri akimwagiza IGP atengue uteuzi wa RPC kwa sababu anazoona ni za msingi sio suala la kiutawala? Au utawala alioongelea Simbachawene ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo Simbachawene ametumia hiyo lugha ya kujikomba tu, sana sana hapo wizarani atakuwa kama shati tu, kwani kila kitu atakuwa anamuuliza mkulu. Hiyo ni lugha ya mtu asiyejiamini na sababu hasa ni alivyotumbuliwa huko nyuma hivyo kapoteza kujiamini. Kwa maneno marahisi ni kuwa hiyo wizara haina waziri, bali rais ndio waziri wa hiyo wizara.
 
Kwani we huoni kuwa hii ni awamu ya vituko na mbwembwe? Kuanzia anayewateua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…