shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,160
Tatizo la kangi lugola ni kwamba kacopy na kupaste kwa jiwe kila kitu bila kuchanganya za zake, matokea mambo yakiharibika wewe ndio unakuwa mbuzi wa kafara.
Yeye kama waziri kama kuna utendaji mbovu wa polisi yoyote na wa cheo chocote wewe deal na igp full stone, sasa wewe unamwambia igp fukuza huyu, hapo tayari umeshamuingilia kwenye majukumu,
na hili kosa ndio jiwe analifanya kila mara akiwa kwenye ziara zake, kuzalilisha watu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app