Hacktivist
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 249
- 86
Nilimsikia mshikaji mmoja akisema "Uzuri wa mwanamke sura....tabia nitamnyoosha"
wakuu naombeni na nyie mtupie kauli ambazo ziliwaacha hoi mlipozisikia kwa mara ya kwanza.....!
wakuu naombeni na nyie mtupie kauli ambazo ziliwaacha hoi mlipozisikia kwa mara ya kwanza.....!