Kauli za dharau anazozingumza Bondia Mwankinyo, kwa Moyo mkunjufu naomba nipande nae ulingoni nimuoneshe namna gani Tz kunawapiga ngumi

Mwakinyo wa sikuhizi anachojua ni kununua mashoga tu
Kumbe mpuuzi namna hiyo? Halafu inakuwaje aseme mtu akitaka kutaja jina lake (Hassan Mwakinyo) ahakikishe ana udhu kwamba? Mbona hana moral authority ya kuweka sharti hilo?
 

RIP in Advance
 
Watanzania tuna taabu sana samata tunamchukia diamond tunamchukia mwakinyo tunamchukia ila mwakinyo njia alizopita ni sawa kuongea hvyo amepambana kutengeneza jina halafu wahuni wanataka wapate mtelezo wakati anaenda kupigana ENGLAND serikali ya Tanzania ilimnyima bendera waliposikia ameshinda mwakiyembe akapata kiki hata chama cha ngumi kiligoma kumpa support akapambana mwenyewe mpaka amejulikana na kitoboa aliporudi bongo kila mtu anamgombania kama kuna mtu anaweza ngumi akapigane na mabondia wa nje huko apate sifa na hela sio apigane na mwakinyo ili iweje.
 
Masikini mna visirani sana!
 
Mkuu hakuna haja ya kumfikishia taarifa, wewe binafsi mtafute kwani yeye ameshaweka wazi yupo tayari kwa anayetaka kupambana nae kwa sharti umalize round mtakazokubaliana, hakuna kukacha mkuu! Mtafute hana shida huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…