Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi.
Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri kutenda yale yaliyo ya kweili vinginevyo itawakatisha tamaa wananchi kwa baadhi ya miradi kutokamilika wakati kauli na ahadi zinatolewa.
Mchana mwema