figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki.
Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika. Yote yalishindikana watu wanaingia msituni kupambania haki zao. Ndivyo nchi nyingiza Afrika walifanya wakati wa kudai uhuru.
Sasa hivi Tanzania watu wanatishia kuingia msituni kama matakwa yao hayatatimizwa. Matakwa hayo ni Katiba Mpya, kuchukulia hatua walioua watu kwenye maandamano, kurudisha watu waliopotea, kuachiliwa huru watu wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.
Hii si mara ya kwanza watu kutishia kuingia Msituni. Wakati wa bunge la Katiba, Wabunge wa CCM walitishia kuingia Msituni kama Wananchi wakipitisha Serikali tatu. Hatua hiyo ilifanya mchakato wa katiba kuishia hewani kwani Viongozi wa Kisiasa walianza kuichakachua katiba ya Warioba ili iendane na Wabunge wa CCM. Wale waliokuwa sio wabunge wa CCM wakasusia mchakato wa katiba ndo ukawa mwishi wa matiba pwndekezwa.
Namnukuu Capt. Komba: Endapo Bunge litaridhia kuwa zinapitishwa Serikali TATU, mimi nitaingia Msituni!
Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu