Yaani cdm ipate kiwewe Lisa kauli ya SelasiniSote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua ukweli wa sakata hilo.
Lakini pia pendekezo lingine la Joseph Selasini Shao ambae anatarajiwa kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15.2026, lililoibua mchecheto na maoni mseto zaidi ndani ya chadema, huku baadhi ya wanachadema wakiunga mkono pendekezo hilo, wengine wakipinga na wengine wakimporomoshea matusi J.Selasini bila sababu yoyote ile , ni lile la kwamba,
Joseph Selasini Shao anapendekeza kua ni lazima chadema iingie kwenye maridhiano jambo ambalo limeipa kiwewe zaidi chadema haswa kwa wafuasi wake wafuata mkumbo na hata kufikia hatua, wafuasi hao wakipendekeza mwenyekiti huyo mtarajiwa wa chadema taifa afutwe uanachama wa chadema.
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa, una maoni gani kuhusiana na haki na uhuru wa kutoa maoni kwa mwanachama wa chadema? Uhuru huo hua ni unafiki tu au ni uhuru na haki inayowahusu watu fulani maalumu tu ndani ya chadema?π
Mungu Ibariki Tanzania
Dada Tlaatlaah tafuta kazi ya kufanya kwasababu kuiua chadema kwa propaganda za kitoto hivi itawachukua hata miaka billion moja alishindwa Mzee Magu na viguvu yote ile nyie ni nani halafu wewe fala tokea umejifungua mtoto wa kike umekuwa na kiherehere sana nenda mkatambiane na wema sepetu na zuchu pambafSote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua ukweli wa sakata hilo.
Lakini pia pendekezo lingine la Joseph Selasini Shao ambae anatarajiwa kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15.2026, lililoibua mchecheto na maoni mseto zaidi ndani ya chadema, huku baadhi ya wanachadema wakiunga mkono pendekezo hilo, wengine wakipinga na wengine wakimporomoshea matusi J.Selasini bila sababu yoyote ile , ni lile la kwamba,
Joseph Selasini Shao anapendekeza kua ni lazima chadema iingie kwenye maridhiano jambo ambalo limeipa kiwewe zaidi chadema haswa kwa wafuasi wake wafuata mkumbo na hata kufikia hatua, wafuasi hao wakipendekeza mwenyekiti huyo mtarajiwa wa chadema taifa afutwe uanachama wa chadema.
Soma pia Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa, una maoni gani kuhusiana na haki na uhuru wa kutoa maoni kwa mwanachama wa chadema? Uhuru huo hua ni unafiki tu au ni uhuru na haki inayowahusu watu fulani maalumu tu ndani ya chadema?
Kulikoni wengine wakitoa maoni kuhusu kinachoendelea chadema hawafukuzwi, ila wengine wanafukuzwa chamani au uongozini kwa haraka sana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Huwezi ku sow discord Chadema kwa post za kingese namna hiiSote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua ukweli wa sakata hilo.
Lakini pia pendekezo lingine la Joseph Selasini Shao ambae anatarajiwa kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15.2026, lililoibua mchecheto na maoni mseto zaidi ndani ya chadema, huku baadhi ya wanachadema wakiunga mkono pendekezo hilo, wengine wakipinga na wengine wakimporomoshea matusi J.Selasini bila sababu yoyote ile , ni lile la kwamba,
Joseph Selasini Shao anapendekeza kua ni lazima chadema iingie kwenye maridhiano jambo ambalo limeipa kiwewe zaidi chadema haswa kwa wafuasi wake wafuata mkumbo na hata kufikia hatua, wafuasi hao wakipendekeza mwenyekiti huyo mtarajiwa wa chadema taifa afutwe uanachama wa chadema.
Soma pia Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa, una maoni gani kuhusiana na haki na uhuru wa kutoa maoni kwa mwanachama wa chadema? Uhuru huo hua ni unafiki tu au ni uhuru na haki inayowahusu watu fulani maalumu tu ndani ya chadema?
Kulikoni wengine wakitoa maoni kuhusu kinachoendelea chadema hawafukuzwi, ila wengine wanafukuzwa chamani au uongozini kwa haraka sana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Chawa,Sote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao..
ila Joseph Selasini Shao ana point ya maana sana,Hata Muhindi anayedaiwa kuweka pesa kwenye akaunti amekanusha, amesema huo ni uzushi na uongo mtupu wa maccm..
View: https://x.com/i/status/2075664959078318386
Gentleman,Chawa,
Hakuna wa kuweweseka maana mchongo wote unajulikana. Hizo ni hila za Wahuni wa Lumumba..
View: https://x.com/i/status/2076785215276519673
hata wewe mwenyewe si unaona ulivyo panic?Yaani cdm ipate kiwewe Lisa kauli ya Selasini
CCM na viongozi wenu wote mnavyo iandama CDM na kuichukia na bado cdm haijaweweseka wala kuteteleka ijekuwa Selasini?
vinginevyo uniambie kuwa Selasini ana nguvu nyingi kuliko ccm
Selasini is irrelevant...Sote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua ukweli wa sakata hilo.
Lakini pia pendekezo lingine la Joseph Selasini Shao ambae anatarajiwa kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15.2026, lililoibua mchecheto na maoni mseto zaidi ndani ya chadema, huku baadhi ya wanachadema wakiunga mkono pendekezo hilo, wengine wakipinga na wengine wakimporomoshea matusi J.Selasini bila sababu yoyote ile , ni lile la kwamba,
Joseph Selasini Shao anapendekeza kua ni lazima chadema iingie kwenye maridhiano jambo ambalo limeipa kiwewe zaidi chadema haswa kwa wafuasi wake wafuata mkumbo na hata kufikia hatua, wafuasi hao wakipendekeza mwenyekiti huyo mtarajiwa wa chadema taifa afutwe uanachama wa chadema.
Soma pia Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa, una maoni gani kuhusiana na haki na uhuru wa kutoa maoni kwa mwanachama wa chadema? Uhuru huo hua ni unafiki tu au ni uhuru na haki inayowahusu watu fulani maalumu tu ndani ya chadema?
Kulikoni wengine wakitoa maoni kuhusu kinachoendelea chadema hawafukuzwi, ila wengine wanafukuzwa chamani au uongozini kwa haraka sana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Selasini is irrelevant...
Tunamjua na hatusumbui, pandikiz tokea Nccr hadi chadema na Nccr tena..
Mpeni ela zenu aendelee kuzitafuna sababu hazina kazi!
anti relax na usipanic plz.Dada Tlaatlaah tafuta kazi ya kufanya kwasababu kuiua chadema kwa propaganda za kitoto hivi itawachukua hata miaka billion moja alishindwa Mzee Magu na viguvu yote ile nyie ni nani halafu wewe fala tokea umejifungua mtoto wa kike umekuwa na kiherehere sana nenda mkatambiane na wema sepetu na zuchu pambaf
Mkuki kwa nguruwe??Gentleman,
hata ikiwa ni hivyo,
mapendekezo ya Joseph Selasini Shao, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi na wana chadema wengine wanaodai uchunguzi ni vizuri waskillizwe ili kujiridhisha, kujua ukweli na kumsafisha heche, kama kweli sio fisadi.
huoni kwamba hii itapendeza zaidi gentleman, kuliko kubabaika na hisia mseto kwenye jamii?π
kwamba Joseph Selasini Shao ndio mkuki uliomchoma nguruwe ambae ndio chadema, right?πMkuki kwa nguruwe??
Mbona hujawahi kusimama kitete kuhakikisha uchunguzi huru unafanyika dhidi ya mhusika mkuu wa mauaji ya kimbari ya MO29 ?
Chawa,kwamba Joseph Selasini Shao ndio mkuki uliomchoma nguruwe ambae ndio chadema, right?π
naona una hamisha mjadala kwa porojo gentleman π€£Chawa,
Mbona unarukaruka kama maharagwe ndani ya chungu jikoni?
Mauaji ya kimbari umeyasahau??
PostGE2025 - Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii | JamiiForums Tanzania PostGE2025 - Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii
Wewe mkata viuno mlisema vyama vya siasa ni vingi na mkaingia navyo kwenye maigizo ya 29 oktober kwanini hujaanzisha treds hata moja kuvihusu hivyo vyama Toka ulipo join hapa jukwaani au wewe ulijiunga jamiiforums kwa ajili ya chadema pekee wewe mkata viuno org hebu jibu hiki kiswali nilichokuswalikaSote ni mashahidi dhidi ya kuweweseka kwa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema baada ya mwanachama wake na nguli wa siasa za Tanzania, senior politician Joseph Selasini Shao, kupendeza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi, kuchunguza ufisadi wa heche ndani ya chadema ili kujiridhisha na kujua ukweli wa sakata hilo.
Lakini pia pendekezo lingine la Joseph Selasini Shao ambae anatarajiwa kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa baada ya mkutano wa baraza kuu la chadema taifa September 15.2026, lililoibua mchecheto na maoni mseto zaidi ndani ya chadema, huku baadhi ya wanachadema wakiunga mkono pendekezo hilo, wengine wakipinga na wengine wakimporomoshea matusi J.Selasini bila sababu yoyote ile , ni lile la kwamba,
Joseph Selasini Shao anapendekeza kua ni lazima chadema iingie kwenye maridhiano jambo ambalo limeipa kiwewe zaidi chadema haswa kwa wafuasi wake wafuata mkumbo na hata kufikia hatua, wafuasi hao wakipendekeza mwenyekiti huyo mtarajiwa wa chadema taifa afutwe uanachama wa chadema.
Soma pia Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia
Kama mdau wa jukwaa hili la siasa, una maoni gani kuhusiana na haki na uhuru wa kutoa maoni kwa mwanachama wa chadema? Uhuru huo hua ni unafiki tu au ni uhuru na haki inayowahusu watu fulani maalumu tu ndani ya chadema?
Kulikoni wengine wakitoa maoni kuhusu kinachoendelea chadema hawafukuzwi, ila wengine wanafukuzwa chamani au uongozini kwa haraka sana?π
Mungu Ibariki Tanzania
Wacha porojo useless chawa, jikite kwenye hili suala..naona una hamisha mjadala kwa porojo gentleman π€£
hiyo porojo si uandikie uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman πWacha porojo useless chawa, jikite kwenye hili suala..
π