Kauli za kibabe zimekuwa nyingi katika utoaji wa pembejeo za kilimo kuliko uhalisia

Miaka sita!!!. Hapana. Mbolea imepanda msimu mmoja 2020/2021. Kabla ya hapo bei ya Mbolea ilikuwa ina range kati ya 43,000 to 63,000 kwa mikoa ya Mbeya na Njombe. Labda huko Uliko wewe.
 
Wanacheza na maisha ya watu kwakweli. Mungu anawaona
 
Na wanaweza hata kutumia ruzuku ya mbolea kisiasa hadi uwe na kadi ya kijani. Serikali ikishaweka ruzuku na kutoa bei elekezi kazi inabaki kwa wafanyabisahara kusambaza mbolea kwenda karibu na wakulima, mambo ya kupanga foleni yanatokea wapi tena? Kama serikali inaweza kutumia mabilioni kuagiza maviieite ya viongozi badala ya kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo ndo utaelewa ni viongozi wa aina gani waliopo hapa bongolala....​
 
Na huo ndio ukweli. !!
 
Hilo ndilo lililopo. Na ukisikia Mkuu wa Wilaya anasema mbolea ipo ya kutosha au inapatikana au imekamatwa ikitoroshwa ni wa kuchunguzwa. Ni watu hatari na wapotoshaji kwa Sasa. Wanatumia mbinu chafu kuchafua watu na kujinufaisha.
 
Dr. Msuku, Dokta wa ukweli, msema ukweli, kioo Cha ukweli, popote ulipo LICHUKUWE hili, tutakushukuru
 
Leta ushahidi wa wakulima kupata hizo mbolea za 70K.

Sehemu zote ninazolima (Mkuranga - Mwanambaya, Rufiji - Mloka, Kisegese, Kibiti na Mvomero, sijaona mbolea hiyo ya 70K.
Mungu anawaona hao. Wacha tumkabidhi watu hao.
 
Dr. Msuku, Dokta wa ukweli, msema ukweli, kioo Cha ukweli, popote ulipo LICHUKUWE hili, tutakushukuru
Nimetoka kuongea na Bibi yangu hiv ssa yuko mbeya MBALIZ ANA MIAKA 90 SSA ANAMSUBILIA MWANAE WAENDE WAKACHUKUE MBOLEA ANASEMA MBOLEA BIBI YA SHIDA SANA MPKA UPANGE FOLENI ukiona hivyo inchi imekuwa maskin sana na tunakwenda kubaya zaidi kuliko tulivyokuwa tunafikli Bibi anakwenda mbali zaidi anashauri kwa nni wasingeacha kma walivyofanya kwenye mafuta je anasema kwa nn wanaongopa
Kurekebisha hatari sana
 
Wewe unaishi nchi gani? Kama bibi yangu kule kijijini ndani kabisa kaipata halafu wewe unasema hujui, nakushangaa.
Weka ushahidi hapa wa kuwepo kwa hizo mbolea na wakulima kuzipata.

Waimba sifa na mapambio tunawajua ninyi kuwa ni waongo mpaka baba wa uongo anawashangaa.
 
Weka ushahidi hapa wa kuwepo kwa hizo mbolea na wakulima kuzipata.

Waimba sifa na mapambio tunawajua ninyi kuwa ni waongo mpaka baba wa uongo anawashangaa.
Ushahidi gani unataka. Au unataka nikuwekee video ya bibi yangu akikiri kupata mbolea ya ruzuku? Acha ubishi kijana, mimi mwenyewe ndiye niliyetuma pesa ya kuinunua. Tatizo lako wewe ulisubiri mbolea ifikishwe nyumbani kwako.
 
Wakulima wa tumbaku mkoani Tabora, mpk leo wanasubiri mbolea ya tumbaku wakati walipaswa kuwa wameitumia kabla ya tarehe 10 December. Leo tunaelekea January mbolea haijafika.

Hatari na nusu
mzee wakulima wa Tumbaku hawanufaiki na mbolea ya ruzuku

serikali imefumba macho kama haifahamu,.wakati huo kuna vyama vimepewa mbolea zenye stika za ruzuku ila wanakopesha kwa bei isiyo ya ruzuku

uhuni na upuuzi uko mwingi sana, mwaka huu mbolea NPK ni usd 70.72 zaidi ya laki na 50

huyu mkulima wa tumbaku atapata nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…