Kauli za kibabe zimekuwa nyingi katika utoaji wa pembejeo za kilimo kuliko uhalisia

Kauli za kibabe zimekuwa nyingi katika utoaji wa pembejeo za kilimo kuliko uhalisia

Watanzania tupunguze kulalama. Miaka sita mbolea ya ruzuku haikuwepo na bei ilifika takribani laki na ushee. Leo ruzuku ipo na wakulima wanapata mbolea kwa tshs nadhani 70, 000.

Hili nalo ni kulalama badala ya kuwa na shukrani walau kiasi. Nikuulize wewe mleta mada, serikali ya familia yako unayoiongoza wewe imeyaweza yote?
Miaka sita!!!. Hapana. Mbolea imepanda msimu mmoja 2020/2021. Kabla ya hapo bei ya Mbolea ilikuwa ina range kati ya 43,000 to 63,000 kwa mikoa ya Mbeya na Njombe. Labda huko Uliko wewe.
 
Hivi wewe unajielewa kweli!?? acha tunaolima ndo tuongee wapumbavu na wajinga kama nynyi muwe ndugu watazamaji,kwa hiyo miaka sita unayosema mbolea bei juu sana ilikuwa 50000-55000 maeneo yangu ilikuwa ni 45000 acha kutuletea chai kwenye mambo ya msingi.
Wanacheza na maisha ya watu kwakweli. Mungu anawaona
 
Baadhi yao inapotolewa ruzuku za namna hiyo huwa ndio wamepata fursa ya kupiga pesa na kunyanyasa wakulima ! Ruzuku duniani kote hutolewa kwa kupunguzwa bei ya kitu husika kama ilivyofanywa kwenye mafuta sio kuanza kupangishana foleni na kuanza kutoa kibali cha mbolea ya ruzuku!! Ukiona Hivyo ujue hao ni wazee wa fursa wameshaamua kupiga pesa !! Huo wimbo wa Kilimo ni uti wa mgongo wa Nchi yetu umeimbwa tangu dahari na dahari lakini watu wanafanya masihara !! Kitu kimoja watu wajue Shibe ndio kila kitu na njaa ni hatari kwa usalama wetu sote !! Hiyo ruzuku iingie moja kwa moja kwenye bidhaa husika kama ilivyokuwa kwenye mafuta !! Wasipewe fursa wapigaji tafadhalini sana !!
Na wanaweza hata kutumia ruzuku ya mbolea kisiasa hadi uwe na kadi ya kijani. Serikali ikishaweka ruzuku na kutoa bei elekezi kazi inabaki kwa wafanyabisahara kusambaza mbolea kwenda karibu na wakulima, mambo ya kupanga foleni yanatokea wapi tena? Kama serikali inaweza kutumia mabilioni kuagiza maviieite ya viongozi badala ya kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo ndo utaelewa ni viongozi wa aina gani waliopo hapa bongolala....​
 
Na huo ndio ukweli. !!
 
Hilo ndilo lililopo. Na ukisikia Mkuu wa Wilaya anasema mbolea ipo ya kutosha au inapatikana au imekamatwa ikitoroshwa ni wa kuchunguzwa. Ni watu hatari na wapotoshaji kwa Sasa. Wanatumia mbinu chafu kuchafua watu na kujinufaisha.
 
Dr. Msuku, Dokta wa ukweli, msema ukweli, kioo Cha ukweli, popote ulipo LICHUKUWE hili, tutakushukuru
 
Leta ushahidi wa wakulima kupata hizo mbolea za 70K.

Sehemu zote ninazolima (Mkuranga - Mwanambaya, Rufiji - Mloka, Kisegese, Kibiti na Mvomero, sijaona mbolea hiyo ya 70K.
Mungu anawaona hao. Wacha tumkabidhi watu hao.
 
Dr. Msuku, Dokta wa ukweli, msema ukweli, kioo Cha ukweli, popote ulipo LICHUKUWE hili, tutakushukuru
Nimetoka kuongea na Bibi yangu hiv ssa yuko mbeya MBALIZ ANA MIAKA 90 SSA ANAMSUBILIA MWANAE WAENDE WAKACHUKUE MBOLEA ANASEMA MBOLEA BIBI YA SHIDA SANA MPKA UPANGE FOLENI ukiona hivyo inchi imekuwa maskin sana na tunakwenda kubaya zaidi kuliko tulivyokuwa tunafikli Bibi anakwenda mbali zaidi anashauri kwa nni wasingeacha kma walivyofanya kwenye mafuta je anasema kwa nn wanaongopa
Kurekebisha hatari sana
 
Wewe unaishi nchi gani? Kama bibi yangu kule kijijini ndani kabisa kaipata halafu wewe unasema hujui, nakushangaa.
Weka ushahidi hapa wa kuwepo kwa hizo mbolea na wakulima kuzipata.

Waimba sifa na mapambio tunawajua ninyi kuwa ni waongo mpaka baba wa uongo anawashangaa.
 
Weka ushahidi hapa wa kuwepo kwa hizo mbolea na wakulima kuzipata.

Waimba sifa na mapambio tunawajua ninyi kuwa ni waongo mpaka baba wa uongo anawashangaa.
Ushahidi gani unataka. Au unataka nikuwekee video ya bibi yangu akikiri kupata mbolea ya ruzuku? Acha ubishi kijana, mimi mwenyewe ndiye niliyetuma pesa ya kuinunua. Tatizo lako wewe ulisubiri mbolea ifikishwe nyumbani kwako.
 
Wakulima wa tumbaku mkoani Tabora, mpk leo wanasubiri mbolea ya tumbaku wakati walipaswa kuwa wameitumia kabla ya tarehe 10 December. Leo tunaelekea January mbolea haijafika.

Hatari na nusu
mzee wakulima wa Tumbaku hawanufaiki na mbolea ya ruzuku

serikali imefumba macho kama haifahamu,.wakati huo kuna vyama vimepewa mbolea zenye stika za ruzuku ila wanakopesha kwa bei isiyo ya ruzuku

uhuni na upuuzi uko mwingi sana, mwaka huu mbolea NPK ni usd 70.72 zaidi ya laki na 50

huyu mkulima wa tumbaku atapata nn
 
Back
Top Bottom