sakwano
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 303
- 830
Aisee umenenepa sana.
Aisee umekonda sana.
Aisee hivi upo wapi saivi?
Dah...hivi kama ni kukonda au kunenepa mimi sininajifahamu tokea nimetokea nyumbni asubuhi...kuna watu huwa Wana kauli na maswali ya kiwaki sna ...je we mwana jamii forum huwa unawajibuji Hawa watu wa aina hii?