Hivi mwinyi zahera ni kocha wa timu au msemaji wa timu? Leo nimekutana nae jengo la east africa tv mida ya saa 7 anashinda tu kwenye media mbuzi dada yule
Soka huliwezi unaweza kujaribu bao. Yaani mmekaririshwa huku kwenu na waropokaji wa Simba na Yanga mkadhani ndo mfumo sahihi? Technical issues za timu msemaji ni mwalimu na msemaji ana mambo yake ya kuongelea. Huku kwenu Waropokaji wanaongelea hadi performance ya timu?Hivi mwinyi zahera ni kocha wa timu au msemaji wa timu? Leo nimekutana nae jengo la east africa tv mida ya saa 7 anashinda tu kwenye media mbuzi dada yule
"Soka huliwezi unaweza kujaribu bao" seriously wewe unajua soka? Majukumu ya msemaji wa timu unayajua? Vigezo vya kuwa msemaji wa timu unavijua? Pole sana tambua mwinyi zahera anafanya majukumu ya msemaji wa timu anafanya majukumu ya Rais wa timu anafanya majukumu ya kamati ya fedha hii ni fedheha hamna pesa mnakosa na akili?Soka huliwezi unaweza kujaribu bao. Yaani mmekaririshwa huku kwenu na waropokaji wa Simba na Yanga mkadhani ndo mfumo sahihi? Technical issues za timu msemaji ni mwalimu na msemaji ana mambo yake ya kuongelea. Huku kwenu Waropokaji wanaongelea hadi performance ya timu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho akishakula kichapo cha mbwa koko atuambie na wao wame hongwa kiasi ganiMara nyingi kocha wa Yanga Mwinyi zahera amekuwa amekuwa anatoa kauli kwamba timu yeke inapocheza na timu yoyote timu wanayocheza nayo inakuwa imehongwa na timu nyingine ili kuikamia Yanga ifungwe au itoe sare ... Nauli hizi ni hatari Kwa soka la Tanzania maana habari zinapotolewa hazijibiwi na upande husika yaani bodi ya ligi au TFF ... Iwapo kauli hizi zingetolewa na kocha wa ligi nyingine duniani mtoa kauli hizi angeitwa atoe uthibitisho kama ikiwezekana anapewa onyo au kulipa faini
si vizuri kutoa matusi kwa sababu za kishabiki mkuu.Hivi mwinyi zahera ni kocha wa timu au msemaji wa timu? Leo nimekutana nae jengo la east africa tv mida ya saa 7 anashinda tu kwenye media mbuzi dada yule
Cha hajabu kulwa anaanza kulalamika kua doto anapendelewa amesahau kua nae alipewa mechi 11 mfululizo nyumbaniKulwa na Dotto!
Mmoja kapewa game kama zote NYUMBANI, bila Kutoka! Mwingine kapewa viporo kama vyote!
Duniani haijawahi kutokea hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Soka huliwezi unaweza kujaribu bao" seriously wewe unajua soka? Majukumu ya msemaji wa timu unayajua? Vigezo vya kuwa msemaji wa timu unavijua? Pole sana tambua mwinyi zahera anafanya majukumu ya msemaji wa timu anafanya majukumu ya Rais wa timu anafanya majukumu ya kamati ya fedha hii ni fedheha hamna pesa mnakosa na akili?Soka huliwezi unaweza kujaribu bao. Yaani mmekaririshwa huku kwenu na waropokaji wa Simba na Yanga mkadhani ndo mfumo sahihi? Technical issues za timu msemaji ni mwalimu na msemaji ana mambo yake ya kuongelea. Huku kwenu Waropokaji wanaongelea hadi performance ya timu?
Sent using Jamii Forums mobile app